Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
- Thread starter
- #41
sasa kaka millioni unaona ndogo kwa mwana chuo , Duh. Whats the importance of a touch screen laptop .. nipe bei ya core i5/core i7 iwe na ram 4GB/8GB na graphics card 4GB. sihitaji iwe touch screen
Ipo mzee imebaki Moja tuu.. 8Gb ram, 1 terabyte memory, Core i5 sio touch screen kama unavyotaka 950K mkuu...
Fanya fasta tu kunitafuta maana watu wanachukua kama njugu