ikhlas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 1,045
- 1,296
Ninacho kijua,ajenda ya BALAA LA NJAA imeletwa na serikali ili kuifutilia mbali kashfa ya MIILI SABA ILIO OKOTWA MTO RUVU,KUPOTEA KWA BEN NA FARU JOHN, ishu zote 3 zime zimwa kama mshumaa na ishu moja tu ya njaa,tumeucheza mziki uliopigwa na serikali,japo si vibaya kulizungumzia baa la njaa lakni tulipaswa tujue dhamira ya serikali,hili ni pigo kwa upinzani maana wao ndo walivaa vebwebwe wakaingia uwanjani kucheza akiwemo na Lowasa mwenyewe gwiji wa siasa za kimahesabu .Kama ambavyo serikali iliingia mtego wa upinza kuhusu maandamo ya UKUTA hata ikawalizimu kuandaa vifaa vya kijeshi kukabiliana nao.WAMELIPIZIANA,lakin je kuna upande unawakumbuka wapiga kura wao?
Nina hakika upinzani watatega off side trick nyengine soon ili kuianika serikali ya JPM ,sheria za mchezo zinaeleweka kazi kwenu..Kutokana na hili serikali ikaonelea ifanye usajili wa kustukiza kwa wachezaji wengine wa 2 ili kuongeza kikosi kilichopo sasa lkn pia kuzitegua off side trick zote zinazotengenezwa na upinzani..kaingia KABUDI NA BULEMBO.....
Kumbuka kwa sheria za mchezo wa soka ukishindwa kugundua off side trick ya adui yako basi aidha utaokota mpira nyavuni au utaaibika kwa firimbi ya refa kuwa umeoteaaaaaa....