Off day ya kesho utata mtupu

Asiyetaka aende kazini fankuuuuro wazushi wakubwa msio na maana. Haya tuambieni ya ICJ yakoje,malofa wakubwa,mapumbavu wakubwa

mkuu kama wewe ni kiongozi wa familia kwa jazba ya majibu yako hawana chochote cha kuiga kwako..
 
Nashangaa wamevalia njuga hii ishu ya siku moja, wamesahau Easter Holiday. Ni lawama tu kana kwamba kesho wakienda nchi itatajirika.
 

kwani umenyang`anywa funguo mzee!? wewe nenda kazini kwako tuachie sie tule bata ya mwisho kabla ya kija mzee wa hapa kazi tu!
 

Hii inasikitisha sana! Kuna sababu gani ya kumpumzika kisa rais anaapishwa. Utafikiri sisi wananchi ndo tunaenda kushikilia biblia au katiba!
Ni kama wanalazimisha watu waangalie hiyo shughuli maani nimeona mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anawabembeleza watu wahudhurie kwa wingi!
 
Duuuh yaani elimu ni kipaumbele kilichokataliwa na waliomchagua jpm,kauli mbiu inasema hapa kazi tuu,lkn muvi linaanza kwa kupewa off,kazi gani hiyooo mliotuambia ya kupumzika?
 

Hiyo nayo ni namna ya kuishi mjini. Wanajeshi , walimu , madaktari na manesi wakajaze uwanja ionekane ni sherehe ya kiserikali na si wavaa sare za chama. Sisi wengine tupo mitaani tunachapa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…