Waungwana numetoa ofa hiyo kwa mwenye uhutaj anichek fasta ninamadume ya kware30 nataka kuyatoa fasta mwenye uhitaj anichek fasta tufanye biz au anipe majike 20 nimpe madume 27 fasta
Kware dume hana madot kifuan ila jike anayo na ugunduz huu zaid kuanzia week ya 2 ila has a ya3 had4 kuhusu anayetaga na siye taga cjajua ila hata kwa uelewa mdogo Kware anaye taga lazima atakua mnene fikir kuhusu mama mjamzito
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.