Ofa ya dina kwa mkaka siku ya wapendanao

Ofa ya dina kwa mkaka siku ya wapendanao

Hujafafanua nini mantiki yako ya kumwalika baada ya kumaliza itakuwa nini je kama ndio tabia yako kualika watu wakati wa sikukuu je wangapi ulishaalika je wewe unafaidika nini kwenye kualika watu hakuna kitu ambacho utafanya bila kupata faida itakuwa wewe kama siyo muuza kuku au utakuwa kuna kitu
Kwa wale masigle boy,

Napenda kutoa ofa ya dina kwa mkaka siku ya wapendanao mahali ni BAHARI BEACH HOTEL..

Sifa:
Miaka 27-35

Kupendeza muhimu.

Kwa atakayependa nipigie 0712 193 159..
 
Mpaka namba tumepewa? Dah... Nishindwe mie sasa kubipu!

Yani leo nakubipu mpaka chaji iishe!

Qudadeki... Hivi bahari beach iko mwenge au mbagala rangi 3?

Jamani mi niko kitunda!
 
umri umeni disqualify..ila nakaa nyuma ya belinda resort
 
Kazi kwenu kina kaka ofa hiyoooooooo!!!!!!!!!!
Wale wasiopenda kuchunwa changamkieni hiyo fursa..
 
Kwa wale masigle boy,

Napenda kutoa ofa ya dina kwa mkaka siku ya wapendanao mahali ni BAHARI BEACH HOTEL..

Sifa:
Miaka 27-35

Kupendeza muhimu.

Kwa atakayependa nipigie 0712 193 159..

mmmmmh hiii itakuwa safari ya kupelekwa tanga kunyonywa damu.
 
Back
Top Bottom