Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
Pombe pombe ukishalewa inakuwa noma!






hahahhaha. akija kesho tangazo litakuwa vilevile. haitafika hiyo keshoLala hapo hapo...! Kesho unaweza kuta pameshajaa![]()
Mabaharia uwa ni kufata kitanda home, na kufanya mkesha hapo hapo!Pombe pombe ukishalewa inakuwa noma!View attachment 1484567
Kwa jinsi anavyoonekana huyo jamaa hata kama aliondoka karoho kalikuwa kanamshawishi kurudi.![]()

Yaani acha tu Mtani.Shetani ana nguvu ya ushawishi![]()
Vitu vingine mwamsingizia tu shetaniShetani ana nguvu ya ushawishi![]()