Ofa ofa..Vifaranga bora vya kambale ( African catfish)

Ofa ofa..Vifaranga bora vya kambale ( African catfish)

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Tanzania Eco-farm mwaka 2019 inakuletea offa ya mwanzo wa mwaka. Ni punguzo la 30% katika bei za kifaranga wetu. Hii offa mwisho ni 1 february 2019.

Bei zetu za offa ni.
3 inch 250
4 inch 300
5 inch 350
6 inch 400
7 inch 450.

Hii ni aina ya kambale wa mabaka mabaka, yan clarias geriepinus. Wanaokuwa kwa haraka sana. Wanazalishwa kitaalamu kabisa na kulishwa vyakula vya kisasa vinavyowafanya wakuwe kwa kasi zaidi.

Uzito wa wastan ni 1.5kg kwa miez 6. Ila wanafika mpaka 4kg ndani ya miezi 6 tokana na ulishaji wa mfugaji.

Tanzania Eco-farm inatoa huduma zake bure kwa wateja wa Vifaranga. Yan ushaur kuanzia uandaaji wa bwawa hadi mavuno.




Sent using Jamii Forums mobile app

0759741303
 
Back
Top Bottom