Ofa ofa ofa kubwaaaa wahi sasa

Ofa ofa ofa kubwaaaa wahi sasa

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
BAR GEST HOUSE NA UKUMBI VINAPANGISHWA
GEST: Ina vyuma 11 self kontena 6 na vyumba vya kawaida 5 vyoo 2 na mabafu 2 nyumba nzima ina marumaru mpaka
chooni.
BAR: Ina uwezo wakuchukua watu 36 mpaka 50 paking ya magari yakutosha na KAUNTA YA NJE
UKUMBI: Unawezo wakuchukua watu 50 mpaka 76 KODI KWA MWEZI NI MILL 2.3
OFA:
Ukiakodi kwa mwaka- OFA uta wekewa viti 100 meza 20 na vitanda pamoja na magodoro feni vyumba vyote Tv flat nch
42 kwajili ya bar na MWEZI MMOJA BURE NA UKARABATI MDOGO HUTAKAO PENDEKEZWA maji yapo
{punguzo lakodi lipo}
Ukilipa miezi 6- OFA utawekewa viti 50 meza 15 vitanda na magodoro na feni vyumaba vyote ukarabati mdogo utakao
pendekezwa na UKARABATI MDOGO UTAKAO PENDEKEZWA maji yapo {punguzo lakodi liopo}
Ukilipa miezia 3- OFA vitanda bila magodoro UKARABATI MDOGO UTAKAO PENDEKEZWA maji yapo {Hakuna punguzo
lako kodi} mimi siodarali mwenye nyumba+255712690760
 
dar es saalam temeke mtaa wa boko juu uwanja wa taifa au wilayan ukija kwa basi shuka usalama polisi.
 
Mkuu unaweza kutuletea picha za vyumba na nje pia - kwenye kaunta na parking!! Shukrani
 
Picha nimeziweka kaka kavipi njoo uone ukilizika tufanye biashara
 
Back
Top Bottom