Poxino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 727
- 53
Bar gest ukumbi vinapangishwa vyumba 11 selfcontena 6 vyoo vyanje 2 mabafu 2 ukumbimbi nimdogo unawezo wakuchukukua watu 76 mpaka 85 naunafaha kwamikutano Sehemu uwanja wataifa juu mtaa wa boko marumaru mpaka chooni madirisha yavioo maji yapo marekebisho madogo yatakayo pendekezwa juu ya mwenye nyumba Bei mill 1nalaki3 kwamwezi parking ipo utawekewa vitanda bila magodoro feni vyumba vyote na hair condishen2 kwenye ukumbi mawasiliano +255712690760 au 0755984282 karibu