Problem is.... Uncle wako hana mipaka kwenye ndoto.... Yaani hua ajisahau kabisa kua ana deal na nani! :shock:
Nimeelewa Uncle na Anti. Basi naomba usiwe unanambia kama unamuota huyo. Nambie wengine ila sio huyo.I wish ningeweza 'kikombe hiki kiniepuke' ila kama ujuavyo, hata Nebukadreza hakuweza...Farao hakuweza....lol
Problem is.... Uncle wako hana mipaka kwenye ndoto.... Yaani hua ajisahau kabisa kua ana deal na nani! :shock:
khaaaaaa!Nimeelewa Uncle na Anti. Basi naomba usiwe unanambia kama unamuota huyo. Nambie wengine ila sio huyo.
Alafu kwa vile nimewapata wote online saa hizi nilitaka kuuliza: hivi nina kaka humu JF? kuna mtu alinambia ananitumia brotherly kiss. Nipokee? lol
:bolt:Mpenzi naomba malizaneni na Mwali.... I desperately need you in bed sasa... Kumekucha, and am in for a morning glory...:eyebrows:
Nimeona 'ameamshwa' Coughing ... Hupendi old movies Uncle? zina raha yake, romance was real romance. sio hizi za siku hizi zimekalia graphic zaidi hata hazina mvuto (ingawa kuna ambazo si haba)
:brushteeth:haya, kumekucha, ngoja nikafagie uani.
Nimeelewa Uncle na Anti. Basi naomba usiwe unanambia kama unamuota huyo. Nambie wengine ila sio huyo.
Alafu kwa vile nimewapata wote online saa hizi nilitaka kuuliza: hivi nina kaka humu JF? kuna mtu alinambia ananitumia brotherly kiss. Nipokee? lol
Nimeelewa Uncle na Anti. Basi naomba usiwe unanambia kama unamuota huyo. Nambie wengine ila sio huyo.
Alafu kwa vile nimewapata wote online saa hizi nilitaka kuuliza: hivi nina kaka humu JF? kuna mtu alinambia ananitumia brotherly kiss. Nipokee? lol
wako wengi itabidi umtaje.... na sababu vijana wetu Sweetie ndo awajua vema, hakuna kupokea brotherly kiss mpaka yeye (Sweetie) akuruhusu.... Umesikia niece?
Usishangae deskmate. hii ndio JF ninayo igundua sasa hivi. hahahahakhaaaaaa!
Security iwe appropriate.... Isivuke mpaka to the extent akose raha! I want obsesd happy and content not suffocated...
(sweetie please usiseme kama huwa naongeaga ndotoni)
Apo bold, anti yako anakuletea tangawizi na asali.....sio kwamba sipendi movies, ila tu Mwali kama wewe mpwa wangu kudig kote huko? Au ndo sehemu ya parti ya jikoni? wareva
kamanda hiki ni kidosi au kikabila?Nein....:A S-coffee:
wako wengi itabidi umtaje.... na sababu vijana wetu Sweetie ndo awajua vema, hakuna kupokea brotherly kiss mpaka yeye (Sweetie) akuruhusu.... Umesikia niece?
Haya, nimeskia. Bora mngesema nisirudi kupokea coz jana alifikisha kabisa, kwa kunishtukiza, na nilipo muuliza kulikoni ndio akasema ni brotherly. sasa itabidi leo mida ya jioni nimrudishie... hahahahahaNein....:A S-coffee:
Orait....as always.....I am in for it oo sweetie...ngoja nimpe maagizo mara moja..:tongue:Mpenzi naomba malizaneni na Mwali.... I desperately need you in bed sasa... Kumekucha, and am in for a morning glory...:eyebrows:
Usishangae deskmate. hii ndio JF ninayo igundua sasa hivi. hahahaha
Ngoja kwanza Uncle na Anti walete jibu, unaweza kuta ni binam, and you know what they say about them :eyebrows: lol
Dah! anti unakaba sana aisee
kamanda hiki ni kidosi au kikabila?
Ntajitahidi nisimzibe mdomo lol
Sasa hapo unataka kuchanganya mambo. Aspirin ni babu, Kaizer ni Uncle, alafu wewe binamu? :confused2:Kama itathibitika kwamba ukaka wenyewe uko hivo bas namimi naomba nikuwe kakaako