October 29, Tulianguka, Tumeinuka, Sasa Tunasonga Mbele

October 29, Tulianguka, Tumeinuka, Sasa Tunasonga Mbele

Siamini kama yeyote aliyethibitika kuua ataachwa bila kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria zilizopo bila kujali yy ni nani. Utashi wa kisiasa wa kufanya hivyo upo, nia ya kufanya hivyo ipo na sababu za kufanya hivyo pia zipo.
Utawala wa chama chako hauna legitimacy wala moral authority kuweza kushughulika na hao wauaji.
 
Muda wa busara uliisha October 29 saa hizi ni mwendo wa atakayemuwahi mwenzake .

Wale waliosahaulika siku za usoni nao watasalimiwa tu.
 
This is more than political, wakati mnasonga mbele wauwaji wawajibishwe na watu wapigwe pingu ni wengi wameanguka na hawatainuka kamwe na kidonda tulichonacho bila kukiponesha itakuwa ni Kidonda ndugu rahisi kutoneshwa au kuendelea kuoza kabisa
 
May be you should read again, this time between the lines.
Switching up to English will not change a damn thing in your horribly woeful piece of shit you wrote. It's a futile ass-licking attempt geared to trying to get noticed. Make you name by being true to humanity values and not shaking your booty Infront of merciless rulers
 
Hili swali angeulizwa mwenyekiti INEC
Unapoleta hoja na kuiweka kama tumejifunza, lakini unaogopa kuusema ukweli, hoja yako inakuwa haina maana bali porojo za chawa. Ni kweli Samia alipata kura 31m? Madai ya cdm ni kuchoka chaguzi kiinimacho. Na matokeo ya uchaguzi huu yamedhibitisha madai yao ya muda mrefu.

Unasema ccm wako wengi, lakini uhalisia unakataa. Kama ccm wangekuwa wengi tungeona mabadiliko ya msingi kwenye chaguzi zetu. Unatolea mfano wa Hichilema wa Zambia, lakini Zambia toka miaka ya mwanzo ya 90 wamekuwa na demokrasia yenye nafuu. Uharibifu wa mali ulianza baada ya polisi kuanza kupiga waandamanaji kama kawaida yao. Na sababu ya kupiga waandamanaji ilikuwa ni kulinda ushindi wa matokeo ya kubumba.

Sasa tarehe 9 December tunarudi tena barabarani, madai yetu ni uchaguzi ufutwe kuwe na serekali ya mpito. Tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Walioua na kufanya uharibifu wawajibishwe. Safari hii hakuna atakayeharibu mali ya mtu, ila madai yetu lazima yatekelezwe, ama tupewe muda wa utekelezaji na uwe ndani ya miaka miwili. Hakuna madai yoyote ambayo hayajawahi kudaiwa kwa njia za kistaarabu. Kitendo cha polisi kutupiga tutarudi wote lockdown, na hapo uhasama utakuwa umepandwa rasmi, maana itabidi tutafute silaha, sisi tukizika, polisi na viongozi nao watakuwa wanazika.
 
One-sided, myopic, unrealistic and very shallow analysis. Likely uko nje na huelewi hali halisi au ni chawa anayeuma na kupuliza kama mwenzako Pasiko Mayala.

Ni wapi tulipoangukia? Tunasongaje mbele wakati madai ya waandamanaji hakuna hata moja lililotekelezwa?

Walioharibu mali na miundombinu umesema mkono wa sheria utawashughulikia, vipi walioua maelfu ya Watanzania tena wengine, kama ushahidi wa video unavyoonyesha, wakiwa siyo hata washiriki wa hayo maandamano? Hawa hawawajibishwi? Au kwako mali na miundombinu vilivyoharibiwa ni vya muhimu zaidi kuliko maisha ya maelfu ya watu waliouwawa indiscriminately? Utawezaje kusonga mbele katika mazingira haya?

Ni nini hasa kilisababisha hayo maandamano? Anzia hapo na utambae kikakamavu bila woga na uchawa kama ulivyofanya hapa.

➡️➡️➡️ Title ya uzi wako inapaswa kuwa "October 29 Tulianguka, Hatujainuka na Hatujasonga Mbele" 📌

View attachment 3499634
Jamaa ameandika gazeti refu but ameegemea upande mmoja. Hawa ni watu wanaotumika kuleta propaganda chafu.

Hakuna sehemu amesema serikali na vyombo vyake vichukuliwe hatua. Huu ni unafiki.

Solution ya tatizo ni rahisi.

1. Uchaguzi ni batili lazima urudiwe

2. Samia, IGP na wauji toka polisi lazima wakamatwe na kufikishwa mahakamani kama si na wao kupigwa risasi.

3. Wakuu wa mikoa na wilaya na wanakati wote wa usalama lazima wakamatwe.

4. Bila haya kufanyika tunadanganyana.
 
Siamini kama yeyote aliyethibitika kuua ataachwa bila kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria zilizopo bila kujali yy ni nani. Utashi wa kisiasa wa kufanya hivyo upo, nia ya kufanya hivyo ipo na sababu za kufanya hivyo pia zipo.
Nani atathibitisha, hawa wanaozika watu kwenye makaburi ya pamoja? Acha kuongea nadharia boss. Hii nchi tunaijua, bila kuingia barabarani tutakuwa tunapotezeana muda.
 
Jamaa ameandika gazeti refu but ameegemea upande mmoja. Hawa ni watu wanaotumika kuleta propaganda chafu.

Hakuna sehemu amesema serikali na vyombo vyake vichukuliwe hatua. Huu ni unafiki.

Solution ya tatizo ni rahisi.

1. Uchaguzi ni batili lazima urudiwe

2. Samia, IGP na wauji toka polisi lazima wakamatwe na kufikishwa mahakamani kama si na wao kupigwa risasi.

3. Wakuu wa mikoa na wilaya na wanakati wote wa usalama lazima wakamatwe.

4. Bila haya kufanyika tunadanganyana.
Mpango wako huu unaotushauri hapa unatekelezeka?
Life is real comrade, sio misimamo tu ya nadharia.
Kwenye negotiations kuna kitu kinaitwa "compromise" Hii ni hatua ya makusudi ya "trade off" baadhi ya mambo yako ili upate kubwa unalolihitaji zaidi.
Sasa hivi tunachokihitaji zaidi ni nini? Kulipa kisasi kwa damu za ndugu zetu zilizomwagika au Tanzania mpya, yenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
Mm nadhani, kwa washukiwa wote wa mauaji na uvunjifu mwingine wa sheria uliofanyika, sheria ichukue mkondo wake.
Lakini majadiliano na maridhiano kuelekea kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi yaendelee.
 
Nani atathibitisha, hawa wanaozika watu kwenye makaburi ya pamoja? Acha kuongea nadharia boss. Hii nchi tunaijua, bila kuingia barabarani tutakuwa tunapotezeana muda.
Ukweli ni ukweli tu, kama huo ndio ukweli hata wajitahidi vipi kuuficha mwisho wa siku utajulikana tu. Hofu yangu tusiwazushie watu mambo ambayo hatuna uhakika nayo. Ikitokea watu wakatekeleza mobb justice based on uzushi tutakuwa tumewakosea sana waathirika.
 
Huja zungumzia uharamia na uhalifu dhidi ya binadamu, mauwaji ya kihistoria yaliyotokea na na uchunguzi wa kuwawajibisha wote waliopanga na kuyatekeleza mauwaji hayo
Na zaidi ya yote haoni kama Samia ni Raisi Batili aliyefanya mapinduzi kupitia wizi wa kura,ni mpuuzi tubndo anaweza muita Samia ni Raisi
 
Kufunga vijana hawa waliofanya uharibifu wa miundombinu na kuchoma mali za watu wakati mafisadi aliowataja Polepole wakidunda mitaani ni kutengeneza tena Mpasuko mwingine kama tunashugulia wahalifu tusibgaue Siungi mkono Uhalifu wowote au wizi wowote na Ufisadi
 
Umesema vyema, katika kutekeleza dhana ya usawa ni muhimu hatua zinazochuliwa zisijali huyu ni nani, bali kila mtu ashughulikiwe kwa kadri ya matendo yake.
 
Umesema vyema, katika kutekeleza dhana ya usawa ni muhimu hatua zinazochuliwa zisijali huyu ni nani, bali kila mtu ashughulikiwe kwa kadri ya matendo yake.
Umenipata vyema tusiangalie tulipoanguka kilichopelekea kuanguka ni nini? Double standard zikizidi ni Mbaya sana hawa madogo kuwafunga alafu yale Mafisadi yaliyotajwa na Polepole police hawajahi kuyaita kituoni ni kutengeneza bomu jingine
 
Mpango wako huu unaotushauri hapa unatekelezeka?
Life is real comrade, sio misimamo tu ya nadharia.
Kwenye negotiations kuna kitu kinaitwa "compromise" Hii ni hatua ya makusudi ya "trade off" baadhi ya mambo yako ili upate kubwa unalolihitaji zaidi.
Sasa hivi tunachokihitaji zaidi ni nini? Kulipa kisasi kwa damu za ndugu zetu zilizomwagika au Tanzania mpya, yenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
Mm nadhani, kwa washukiwa wote wa mauaji na uvunjifu mwingine wa sheria uliofanyika, sheria ichukue mkondo wake.
Lakini majadiliano na maridhiano kuelekea kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi yaendelee.
Acha kuficha kichwa kwenye mchanga kama mbuni ukidhani huonekani. Huo ni wehu.

Kila mtu hapa anakupinga hujioni wewe juha?

Umesema mwenyewe ulikuwa umejifungia nyumbani kwako 29th. Wewe ni kunguru mwoga ndiyo maana hata ushauri wako umekaa kichawa chawa.

Mimi ni mmoja ya watu waliondamana hapa Arusha, nipo na picha, videos watu wakiuwa kwa risasi na wengine imekuwa bahati risasi hazikutupata.

Dr uchwara kama wewe huwezi kuniambia chochote wewe.
 
Kwa hali hii tutakuwa na nchi inayoitwa Tanzania kweli?

Nyie wenyewe ndio mmewafikisha watu hapo , ndio maana nimesema muda wa kufanya majadiliano ya busara ulikuwepo hata wanaccm tena waNEC wawili walishawashauri [Gwajima na Polepole] ila mkashupaza shingo sasa ndio hatua hiyo nchi imefika.
 
TUSONGE MBELE AU SIO
 
Attachments

  • mangekimambi80-20251110-0002.mp4
    2.6 MB
  • mangekimambi80-20251110-0001.mp4
    4.2 MB
Hebu fafanua objectively ni kwa vipi makala haya yanathibitisha uchawa?
Nadhani ulikuwa unatoroka masomo ya ufahamu, yaliyokuwa yakituelekeza kusoma hadithi kwa makini kisha kujibu maswali.
Your comment is completely off the point.
Tunashida Kama Taifa huwa tunaongozwa na miemko zaidi kwenye utoaji wa hoja badala ya kuwa na utulivu wa kiakili
 
Back
Top Bottom