Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,115
kufanya mapenzi na mtoto under 18 hata kama mmekubaliana ni UBAKAJI? unataka kutetea nini hapa?
kama OCS ni muislam hakuna kosa, atakuwa kamuiga mwamedi
kufanya mapenzi na mtoto under 18 hata kama mmekubaliana ni UBAKAJI? unataka kutetea nini hapa?
Hapa si kufanya mapenzi bali ni ubakaji.
Kutumia mamlaka yake kujipatia penzi.
Kuzini na mtoto{if she is under 18yrs}
kama sheria itamtia hatiani adhabu ni kifungo miaka 30 jela.
Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kata ya Katoma wilayani Geita akutwa jana chumbani akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4.
Wananchi walimteka na kumpeleka kituo cha polisi,mkuu huyo wa kituo cha polisi anadaiwa kwamba siku 10 zilizopita alimuweka mahabusu mwanafunzi huyo kumtisha akubali kufanya nae mapenzi.
Tayari mkuu wa polisi wa wilaya ya Geita amekwenda jana kwenye eneo la tukio.
Endelea kufuatilia hapa JF.
Uhalisia uko wapi? Africa kusini kuua bila kukusudia ni miaka 15 leo mtu afungwe miaka 30 kisa kalala na mmama wa kidato cha nne????
Atapandishwa cheo kama walivyo fanya kwa KAMUHANDA,kuua ndo jambo kubwa sembuse uroda,hii ndiyo tanganyika.
Amekomaliwa na wakubwa n ngumu halafu waandishi nao wameikomalia,na saivi geita wanawaogopa na kuwaheshimu sana waandishi kwa sbb wamekuwa wakifichua sana maovu yao akiwemo aliyekuwa OCD wa Geita Busee Bwire ambaye ameshushwa cheo na sasa anasoma magazeti kwa RPC