Mpe Akupele
Member
- May 31, 2014
- 8
- 3
Afande kichwa cha chini kiko active kuliko cha juu.
Umetisha Mzee kaka walivyo Wengi wao!!
Afande kichwa cha chini kiko active kuliko cha juu.
Tupe Majina ya huyo OCS
Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kata ya Katoma wilayani Geita akutwa jana chumbani akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4.
Wananchi walimteka na kumpeleka kituo cha polisi,mkuu huyo wa kituo cha polisi anadaiwa kwamba siku 10 zilizopita alimuweka mahabusu mwanafunzi huyo kumtisha akubali kufanya nae mapenzi.
Tayari mkuu wa polisi wa wilaya ya Geita amekwenda jana kwenye eneo la tukio.
Endelea kufuatilia hapa JF.
huyo no kupambana mpaka aende mahakamani
masukum majungu sana ndio maana hayaendelei kimaendeleo kazi majungu na uchawi na huyu mleta mada msukuma sishangai
atatoa majina wapi wakati uongo uongo tu
zamani kidogo nilipokuwa naona fulani kabaka basi najua imekuwa taflani kumbe ni upuuzi wa kijinga ..kubaka na kufanya mapenzi ni tofauti sana kama mbingu na ardhi
Unaota wewe
huyo wange mla kiboga kwanza nyambaf.....maana unaweza skiaa wakamuhamisha mkoa shnz typ
hata mimi nilikuwa nataka huyo OCS apigwe p.umbu kwanza ili naye apate utamu wake.
Hapa si kufanya mapenzi bali ni ubakaji.
Kutumia mamlaka yake kujipatia penzi.
Kuzini na mtoto{if she is under 18yrs}
kama sheria itamtia hatiani adhabu ni kifungo miaka 30 jela.