Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,299
- 13,334
Hutaki wageni?Nani amekuambia nna hamu ya kutembelew?
Hutaki wageni?Nani amekuambia nna hamu ya kutembelew?
Sina haja ya kujua, wewe endelea kumlia timing tu🤣ungejua!...laiti ungejuaa
Sio shbamitShbamit mwenyewe..niondolee wingu hebu!....ofakile
Unadhan mm ndo ww!...wengine mataita shauri zako...! Uzuri huez sikia .ila hana miez mingi namchoma na hakuna w kunifnya kituSina haja ya kujua, wewe endelea kumlia timing tu
Yaan ww ndo unifunze kuandika??🤣 shubaaamit!...Sio shbamit
ni shubahamit
MxiewHutaki wageni?
Masikinii do you expect that to work?Unadhan mm ndo ww!...wengine mataita shauri zako...! Uzuri huez sikia .ila hana miez mingi namchoma na hakuna w kunifnya kitu
Nahene etaga dohoMxiew
Masikinii do you expect that to work?
Mataita = Matajiri kwa hiyo unataka kutumia utajiri wako? 😝😝
.
Sasa sijui utaenda kumchoma kwa nani mwananzengo
Yes maana uandishi wako ni mbaya, unaweka minukta mingi mahala yasikotakiwa, mfano hapo umeweka question mark mbili katika uandishi wa lugha yoyote hiko kitu hakipo!Yaan ww ndo unifunze kuandika??🤣 shubaaamit!...
Sasa unafikiri neno Taita maana yake nini?Wasukuma bwana! Alokuambia maana ya mataita ni matajiri ni nan? Sikujibu unanichefua tu!
Yes maana uandishi wako ni mbaya, unaweka minukta mingi mahala yasikotakiwa, mfano hapo umeweka question mark mbili katika uandishi wa lugha yoyote hiko kitu hakipo!
.
Yaan = Yani
Nijiaibishe mimi (anonymous) are you serious?🐷🤣🤣chutama mkuu unajiabisha sana sana!...duh...! UPE oyeee!
Niulete ili iwe kwa faida ya nani? We vipi!?Nijiaibishe mimi (anonymous) are you serious?🐷
Tunasubiri mrejesho wa kumchoma poti aisee
Utaishia kupigwa hizo pesa mkuu, jamaa wanalindanaga hawaUnadhan mm ndo ww!...wengine mataita shauri zako...! Uzuri huez sikia .ila hana miez mingi namchoma na hakuna w kunifnya kitu
😝😝😝 sasa kama ulikuwa unafahamu hakuna anayefaidika kwanini uliandika kuna polisi unamlia timing?Niulete ili iwe kwa faida ya nani? We vipi!?
😝😝😝 sasa kama ulikuwa unafahamu hakuna anayefaidika kwanini uliandika kuna polisi unamlia timing?
.
Kama ulivyosema hapa kwamba unamlia timing ukishafanikisha ulete na mrejesho, wewe ni mtu mzima!
Good luck katika safari yako ya kumlia timing 😝😝Yaan siwez mwelewesha mtu mshamba km ww na mwoga km ww! Kifupi mm nna sura mbili!...baadhi wanajua! Bye!