OCD Geita wachunguze askari polisi hawa wa Kituo cha Nyarugusu

Niliona uzi wako unataka kwenda katavi sijui! Nenda huko kuna fursa zaidi navyoskia...kuna kaka nimemaliza naye std 7 yuko huko..yy ni tajiri...anauza radio tv mafriji anapeleka zambia asali..ananiambia fursa nje nje!/kila la heri bro!
Asante sana nakushukuru kwa hilo

Shida kule wadau wananambia nikauze mazao nami mtaji wa kuuza mazao sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan ww hujui ulisemalo aisee...ss ww kufanya kaz geita mm kunaniongeze kitu gan!?...umeishiwa! Laiti ungejuašŸ¤—
Narudia tena andika maneno yaliyokamilika ujinga acha!
Kufanya kazi kwangu Geita hakukuongezei chochote wewe ila kumenipa experience ya kuijua Geita vizuri.
.
Nimeishiwa nini andika ambacho unahisi mimi sikijui kuhusu Polisi na Magereza Geita nikufurahishe wewe ni wakunyooshwa eti namlia timing wewe?shubahamit
 
Shbamit mwenyewe..niondolee wingu hebu!....ofakile
 
Back
Top Bottom