OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

Mwanahabari Huru

Sawa kwa maana hiyo baada ya kumkamata alimuweka ndani na kumfungulia mashitaka gani?
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri tatizo lililolipotiwa sio kudanganya CV, ila kudanganya kwamba anaumwa na kuendelea kulipwa mshahara wakati tayari ameacha kazi. Mbaya zaidi yeye ni kiongozi wa nchi. Sasa mimi nilidahni Kikwete alifanya home yake vizuri katika kuteua timu yake, lakini kwa kashfa hii inaonekana uteuzi wake una walakini. Kumbuka huyu ni kiongozi wa pili kuibuka na udanganyifu ukiacha wale waliodanganya PhD zao!

Yule tibaigana afadhali kidogo alikuwa na mshipa wa aibu kuliko hawa wengine.
 
Tatizo nini hapo?

Au haujuwi chama tawala ni kipi?

Kazaneni na nyinyi mtapata fursa ya kusalimiana na wananchi wenu hata saa 7 za usiku.

Kinana kasimama kusalimiana na wana CCM, kinawauma nini?

Kusalimia wananchi hadi jukwaa linajengwa, viti vinapangwa, angesalimia akiwa ndani ya gari na kupita zake.

Unasemaje ccm walipobadilisha maana ya neno rushwa na kuita takrima?
 
Kusalimia wananchi hadi jukwaa linajengwa, viti vinapangwa, angesalimia akiwa ndani ya gari na kupita zake.

Unasemaje ccm walipobadilisha maana ya neno rushwa na kuita takrima?

Takrima ni takrima na rushwa ni rushwa, vitu viwili tofauti.

Hilo kuhusu jukwaa nimeshalijibu, pitia nyuzi wacha kiherehere.
 
Mtu anae tetea uovu kama huu wa wazi hata ugaidi atatetea akisema umehalalishwa na mungu. Halaf mi sijawahi kuona huyu mama kaandika point mahali zaidi ya kujitoa ufahamu na kutetea ujinga

Mkikosa hoja mnakimbilia "ugaidi", "udini". Hamna zaidi.

Punguani wahed.
 
polis wanatumika na ccm. juzi kinana kafanya mkutano wa hadhara mpaka saa 4 usiku lakini polis wanaangalia tu. sembuse salum kuzidisha masaa 2 tu. nimeamini ccm ni chama dola kinabebwa na vyombo vya dola. chadema toeni kauli mara moja juu ya uonevu huu.

Hivi kazidisha masaa 2 au dk 20? Mikutano inatakiwa kwisha saa 12:00 jioni, yeye tunaambiwa amekwenda hadi saa 12:20 jioni (kama mleta mada yuko sahihi).
 
Hapa jamaa anahutubia - inasemekana hadi saa nne usiku lakini hakuna Police aliyethubutu walau kumhoji tu.

attachment.php
 
Hapa jamaa anahutubia - inasemekana hadi saa nne usiku lakini hakuna Police aliyethubutu walau kumhoji tu.

attachment.php

hapa nadhan itakuwa ni saa 11.30 jioni:confused2:
 
Acha uongo wewe, umeshakuwa mzee! Watu wakikungoja uwasalimie ndo kunakuwa na stage, viti, mapambo na mataa Kama hivi? Watu wa ccm lini mtajifunza kusema ukweli na kumuogopa mungu? Mtaondoka tu, kama sio leo ni kesho, lakini safari ya kuondoka imeshaanza

Huyo mwanamke anajifanyaga swala 5...wakat roho yake inachuki inayokaribiana na shetan
 
Back
Top Bottom