Obama vs Kikwete

Obama vs Kikwete

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Viongozi wa Africa mna shida gani?
Kwanini hamtaki kustaafu

Hapo hajaweka CV za mkewe na mwanawe
Watoto wa Obama wala hawapo kwenye nafasi za kiserikali kama hawa huku
1772108342393.jpg
 
Afrika ubinafsi, ulafi na tamaa ya viongozi ni jipu linalozuia maendeleo ya hili bara. Viongozi wanang'ang'ania madarakani mpaka wanakosa hata nguvu za kukojoa wanajikojolia mikutanoni. Sasa huyu Kikwete na mke wake wana shida gani kama sio tamaa na ulafi tu wa madaraka. Maendeleo kwa nchi kama Tanzania ni ndoto maana viongozi ni wazee hawataki kuwaachia vijana waingie na mawazo mapya; na wanawaingiza watoto wao kwenye mfumo hapo kunakua hamna jipya tena, watoto wanachukua mawazo ya wazee wao waliofeli kipindi chao cha uongozi.
 
Viongozi wa Africa mna shida gani?
Kwanini hamtaki kustaafu

Hapo hajaweka CV za mkewe na mwanawe
Watoto wa Obama wala hawapo kwenye nafasi za kiserikali kama hawa huku
View attachment 3549120
Huwezi kulinganisha chawa na binadamu. Kikwete anaogopa madhambi yake yasifichuke. Baada ya huyu, hatatokea Rais hovyo kama yeye.
 
Kenya wapo rais wa 5
Kuna mafisadi zaidi ya wanasiasa wa Kenya?

Matajiri wakubwa Kenya ni wanasiasa, fuatilia utajua vyema.

Hayo unayoyaona ni maigizo tu ila kiuhalisia bado nchi za kiafrika hazijakuwa kufikia level za hao tunaojilinganisha nao.
 
Back
Top Bottom