Kanisa ndiyo linafanya hivyo zamani na mpaka leo, ushahidi:
Zamani: The Roman Catholic church's policies on castratism
Sasa: Dutch Roman Catholic Church 'castrated at least 10 boys' - Telegraph
Mkuu unawatia njaa sana mikafiri
Kanisa ndiyo linafanya hivyo zamani na mpaka leo, ushahidi:
Zamani: The Roman Catholic church's policies on castratism
Sasa: Dutch Roman Catholic Church 'castrated at least 10 boys' - Telegraph
kumbe na wewe ni mKE? nilidhani mTZMwache Kiongozi wa Dunia aje Nyumbani. Wivu mapema hii.
Siku hizi tatu nnauhakika hatutawaona manyang'au JF, tutapooza.
cc MK254, NairobiWalker, Ishmael, MaxShimba na manyang'au wote.
@Modearator, Paw, Invisible, PainKiller, tafadhali njooni muone anavyobadili maandiko yangu na kuyafanya matusi.
Hawa ndiyo watu wanaoiharibu JF. Msiwachekee hata kidogo.
Wivu anakaa masaa 8, tena anakuja kutoa kimasomaso.
We nyang'au umesahaau Rais wa kwanza kutoka Afrika kualikwa White House na Obama alikuwa ni nani? Umesahau alikuja Tanzania aka spend how many days? umesahau Tanzania imeweka record ya dunia kuwakutanisha Marais wanne wa USA kwa wakati mmoja nje ya USA? Jikumbushe:
![]()
Habari ya kufika mwezini ilitengenezwa tuu
Acha kujipa sifa za kijinga
Moderator, Paw, Invisible, PainKiller, tafadhali njooni muone anavyobadili maandiko yangu na kuyafanya matusi.
Hawa ndiyo watu wanaoiharibu JF. Msiwachekee hata kidogo.
Utakua kweli una crush na huyo jamaa.
Usijali baby, bado tuko pamoja. Tutakutana tu usiwe na shaka.Ngoja waje wakusome kwenye post namba 47.
Siku hizi tatu nnauhakika hatutawaona manyang'au JF, tutapooza.
cc MK254, NairobiWalker, Ishmael, MaxShimba na manyang'au wote.