Obama visit in Kenya

Obama visit in Kenya

Wivu anakaa masaa 8, tena anakuja kutoa kimasomaso.

We nyang'au umesahaau Rais wa kwanza kutoka Afrika kualikwa White House na Obama alikuwa ni nani? Umesahau alikuja Tanzania aka spend how many days? umesahau Tanzania imeweka record ya dunia kuwakutanisha Marais wanne wa USA kwa wakati mmoja nje ya USA? Jikumbushe:

Wivu tu umekujaa, wewe tengeza Shilingi yako kwanza, inasua sua. Oresident Obama Kenya ni Nyumbani, let me remind you on that.
 
Wivu tu umekujaa, wewe tengeza Shilingi yako kwanza, inasua sua. Oresident Obama Kenya ni Nyumbani, let me remind you on that.

Umechelewa sana, shillingi toka jana imeanza kupanda kwa kasi kubwa sana, what about you in Kenya?
 
Ina maana hata presidential guard wasimsogele Kenyata zaidi ya ADC na Secretary...?....asee hii kiboko..Kenya itatawaliwa kwa muda
 
Shilingi ya tanganyika au?inapandaje labda?Naona bado unaota
Rudi kalale
Mwache huyo ajuza FaizaFoxy, leo tu imezidi kuporomoka hadi kufikia Tshs. 1991 kwa dola. Sijui huko mitaani imefikia ngapi!
 
Last edited by a moderator:
Kweli ukiwa maskin taabu!!! Mbona marais wetu wakienda huko hawatunyii mbwembwe zote izo??
 
Kiboko yao Mwalimu, nasikia Henry Kissinger wakati huo Foreign Sec alitia mguu Bongo na kama kawaida ya manjonjo ya Marekani alikuja na gari yake ya kumtembeza akiwa Bongo. Hii gari inadaiwa ilitakiwa itolewe haraka kabla hajafika. Mwalimu akatia ngumu anakuja na nyumba yake pia? Akajibiwa ni gari tu na vifaa vingine. Kwa jeuri ya Mwalimu akauliza tena kwani aliambiwa huku hatuna magari? Basi akasema atapanda magari haya haya tunayopanda sisi au arudi kwao. Basi gari haikutolewa bandarini na njemba ikapanda gari ya Ikulu. Chezeya Mwalimu weye!! RIP Baba wa Taifa.
 
Uongo huo.
 
hivi wewe unafanya kazi, kuswali, etc. saa zipi? halafu kila kitu unajua kuliko wenzako?!

Nilikuwepo wakati wa Nyerere na nnakumbuka sana alipokuja huyo Myahudi 1976 na hakuna kitu kama hicho kilitokea.

AlhamduliLlahi Nnajuwa mengi sana kuliko unavyofikiria lakini siyajuwi yote, na kila siku, saa, dakika nnajifunza mengine.

Kazi ya nini? Salat na kujitayrisha kwake haichukuwi zaidi ya dakika kumi na iko kwa nyakati zake, mara 5 kwa kila masaa 24, its a total of less then an hour for every 24 hours.

Kwa kuwa umeniuliza saa zipi; Ni linapochomoza jua (Alfajiri), kwenye ncha mbili za mchana (Adhuhuri na Alasiri), Linapozama jua (Magharibi) ma unapokuwa usiku (Isha).

Jee, una lingine zaidi?

Umewahi kusikia kuwa Wayahudi weupe wanawaharibu kizazi kwa makusudi kabisa (sterilize) Wayahudi weusi huko Israel ili wasizaliane zaidi? Na kutokana hilo idadi ya Wayahudi weusi imepunguwa kwa asilimia 20.

Ni unyama wa hali ya juu, soma zaidi: Israel Forcibly Injected African Immigrants with Birth Control, Report Claims - Forbes

cc Ishmael
 
Duh .. waarabu wenu waliwafanyia waafrika ukatili mkubwa zaidi ya huu miaka ile ya utumwa. ... maana waliwahasi kwa visu kama ng'ombe
 
Back
Top Bottom