Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Rais wa ,,USA baby" Barack Obama nafikiri atakuwa amevunja rekodi kati ya marais wote waliopita huko ,,USA baby" kuwa rais wa kwanza wa USA kufanya karibia kila lililo la ajabu na baya;
Rais wa kwanza mchotara!
Rais wa kwanza wa kimarekani kumuua Rais wa Kiafrika Gadafi akiwa madarakani!
Raisi wa kwanza kutamka hadharani kwamba ,,USA baby" siyo nchi ya Kikristo tena ,,USA is not a christian nation"!
Rais wa kwanza kuhalalisha ndoa ya jinsia moja na kuanzisha jinsi mpya (transgender)!
Rais wa kwanza kutembelea Cuba!
Rais wa kwanza mke wake kuvaa vimini na gauni linaloacha mabega na sehemu kubwa ya maziwa wazi!
Na sasa hivi kama bado hajachoka kuvunja rekodi, amekuwa Rais wa kwanza kutembelea Hiroshima, Ujapani ambako Bomu la Nyuklia lilidondoshwa na nchi hyo miaka karibia 70 iliyopita!
Raisi wa kwanza kuonyeshwa akila ganja live!
Nafikiri kuna rekodi nyingi zinakuja za Rais huyo kabla hajamaliza muda wake.