Obama...Sasa hii Too Much!!

kwani hiyo picha iliwekwa hapo ili tuipake rangi si ili tuidadavue?kha maneno yamekushinda pita hiyo ndio khabari ya mujini sasa

Haya mwanetu.... Ila huko mjini kwenu?! Sijui mtafika wapi nako....
 
Tamaduni ndo kila kitu... Huoni ajabu kwa kuwa ume adopt utamaduni usio wako...
Utamaduni ndio kila kitu?, mbona sasa huendi kucheza ngoma za jadi , mbona huvai ngozi, hata kama ni utamaduni kama kitu hakina maana hakuna sbbu ya kuendelea nacho
 
hawa wash*nz wanakula bata tu afu walala hoi tunauana kwa kuwaxhabikia.... GoD DaMn....
 
kazi kweli kweli sie kwetu tumefundishwa maadili mambo ya jkt zamani.
 
Daah mama kasimamisha matiti .... Mamaa weeee!!!!
 
Nimekusoma vizuri sana mkuu Highlander. hii ni picha tu tunaishangaa, mie mwenyewe sibusu mupenzi hadharani. Si unajua tamaduni tofauti na madhara yake tunayajua kwenye jamii.

Natamani kweli nijue umri wako, nimekuwa curious ghafla.
 
Last edited by a moderator:

50something mamangu. pale Mlimani wanatuita bbc. born before computers. na wewe je?
 
Halafu ukiacha mtoto wao anayewashangaa raia wengine wako busy na mambo yao.

Usikute huyo mtoto ndio aliwaambia wafanye hivyo, majuu hamnazo.

Utajua kuwa ni mjaluo? Hiyo ndio Americano bwana, hata jamaa yangu Pazi wa mwanerumango akienda anakuwa waziri
 
Last edited by a moderator:
Usikute huyo mtoto ndio aliwaambia wafanye hivyo, majuu hamnazo.

Utajua kuwa ni mjaluo? Hiyo ndio Americano bwana, hata jamaa yangu Pazi wa mwanerumango akienda anakuwa waziri

Hayo Matangazo tu Kwao ya Uraisi. ila tusiige unajuwa Binadamu tunaweza kuona Kupigana Mabusu mazito Hazarani nikuonyesha mapenzi ya kweli ila tukumbuke kuna Wanadamu wengine hawana mpenzi tunaongelea mapenzi ya kihalali sio mapenzi yawizi ya kizinifu, Mnapokuwa wana Ndoa mnapofanya mabusu mazito ya hazarani mnaweza kufikiria mnaonyesha jamii mapenzi yetu ila kumbuka kuna ambao mnawaumiza wanatamani na wao kuwa na mtu pembeni yake kama nyie kwahiyo jitahidini msubiri mkiwa kwenu nje vipo vingi havijakatazwa, Mwisho ndio Watoto nao wanaona vitu vya kawaida ndio unakuta BOngo watoto wadogo nao wanaanza Mabusu Mazito Mitaani na Barabarani mwisho jamii inaona kitu cha Kawaida mpaka Mizizi ya kuogopa na kumpenda Mungu ya Moyo inakufa sababu tushazoea kuona uchafu na Uzinifu na kuhuruhusu. Ndio tunarudi kule Mtu anakuwa na Demu si Mke wake ila anataka kumpeleka kama kamuowa wakati Kuowa au Demu naye kuolewa hataki ila anataka anayesema BF ampeleke kama Mume then wakiibiana wanakasirika kama waliokuwa kwenye ndoa bile wakati wote walikuwa Wizi tu na wazinifu wakubwa.
 
50 bado unatesa sana na hivi ni mwanaume..mie late 20!!..kizazi cha obamacare au bbm🙂) he he

Du!... Belinda, mtoto wa mwanaume mwenzangu. Watoto wa siku hizi mnavojua kutupamba?! "Hivi sasa [mimi] ni mwanaume," unasema. Haya basi. Asante.... Uwe na siku njema binti wa mwanaume mwenzangu.
 
Du!... Belinda, mtoto wa mwanaume mwenzangu. Watoto wa siku hizi mnavojua kutupamba?! "Hivi sasa [mimi] ni mwanaume," unasema. Haya basi. Asante.... Uwe na siku njema binti wa mwanaume mwenzangu.

Pole sana mkuu kama nimechemka, nilihisi wewe ni mwanaume..all in all, nimekusoma vyema kuhusu ule ushauri wa utandawazi na mambo ya Obama kisses..usiku mwema nawe pia, lala na malaika wa Bwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…