BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Obama amejazia hapo mbele !!!!!! Nitafakari ni kubwa kiasi gani lol
Obama amejazia hapo mbele !!!!!! Nitafakari ni kubwa kiasi gani lol
Looh! nivea umenichekesha kweli kumoyo yaani umetafakari ukubwa wa manual gear ya mtu...jamani huo mkao mmmh!! mwafrika haachi asili!!
Hivi nyie watoto huu utandawazi mbona umeanza kuwaharibu?! Hakuna mambo mengine ya kuongea kweli?
Kaingia na ka-fit safi kabisa, ni rais wa nchi kama alivyo ObamaSasa JK anaingiaje hapa.....wabongo kwa kuforce mambo....ngoja tusubiri za slaa na josephine 2015:madgrin:
acha dharau na kelele zako we mzee..si ungepita hii thread bila kuchangia,kwani umelazimishwa kuichangia? Hebu pisha kule.
haya basi... samahani.
waafrika washamba sana . Sasa hapo kuna tatizo gani?
He loves his wife.
wabongo wengi hatuwezi kufanya hii kitu na wake zetu in public kama huyu prezidaa.
hahaha ni kama Maria naye anataka.uzungu mwingine bhana.kichefu chefu sana.
Bila samahani mkuu. Tugange yajayo!!
Hivi nyie watoto huu utandawazi mbona umeanza kuwaharibu?! Hakuna mambo mengine ya kuongea kweli?
Watoto fumbeni macho wakubwa wanashughulikia maandalizi ya kula Kitufe.