Obama recognizes his fellow Kenyans

vulcan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,742
2,459
1571002306233.png
 
Attachments

  • 1571002278256.png
    1571002278256.png
    129.7 KB · Views: 2
Huyu ni mzungu mwenye rangi nyeusi, history haitamsahau kua yeye ndie muasisi wa Arab spring protest iliyopelekea machafuko nchi zinazozungukwa na jangwa LA Sahara Libya, Syria, nk. kweli kikulacho ki nguoni mwako
 
Huyo ndie aliyesababisha libya kuwa kama ilivyosasa kwa propaganda zao za ajabu, ila hope ipo siku watakuja kulipa kwa waliyoyafanya ndani ya africa
 
Alishiriki tu lakini sio muasisi, Libya iliangushwa na France chini ya uongozi wa Nicolas sarkozy. Libya ilikua na mpango wa kuleta pesa ya dhahabu ambayo ingetumika na 14 francophone countries na kuitoa hela Yao chini ya uongozi wa France tukio ambalo lingefanya France ifilisike na kua masikini .ili France ibaki kwenye orodha ya mataifa yenye nguvu na tajiri duniani ilikua waje na mbinu ya arabu spring ili waweze kumuondoa Gaddafi.
 
Yeye anaona wanaadamu walio-accomplish mambo wewe unaona u-kenya na utaifa.., hii nadhani ni hatua ya mwanzo kabisa ya ubaguzi ingawa haujafikia
 
Tabia zao wakitoka madarakani!
Ninafikiri ameamua kuwa human badala ya Kenyan.
Huyo ndie aliyesababisha libya kuwa kama ilivyosasa kwa propaganda zao za ajabu, ila hope ipo siku watakuja kulipa kwa waliyoyafanya ndani ya africa
Huyu ni mzungu mwenye rangi nyeusi, history haitamsahau kua yeye ndie muasisi wa Arab spring protest iliyopelekea machafuko nchi zinazozungukwa na jangwa LA Sahara Libya, Syria, nk. kweli kikulacho ki nguoni mwako
Obama-Smug.jpg
 
Mtanzania amejua Obama juzi anataka kutufunza kumhusu.. Kweli Tz imejaa Bongolala. Obama is the son of sir Obama and his native home is K'ogalo Siaya County Kenya. He's been with us even before anybody knew who he was.
FB_IMG_15710679392753454.jpeg
FB_IMG_15710679182410131.jpeg
FB_IMG_15710520460583861.jpeg
 
huyu mtu wakati yuko madarakani hakuwasaidia chochote wakenya lakini wakenya bado wanajipendekeza kwake
Bro,, Wakenya sio wanyonge au watembeza bakuli au omba omba jinsi ilivyo desturi ya wabongoduni.
Wakenya ni watu wakakamavu, watia bidii, waerevu, wajanja, washujaa, wapambanaji.... n.k
fikiria kwanza kabla ya kutoa kauli zako potoshi
 
Kivipi mkuu? Elezea kidogo ili hata yule anayeishi kule Tunduma ajue uhusika wa OBAMA
Huyu ni mzungu mwenye rangi nyeusi, history haitamsahau kua yeye ndie muasisi wa Arab spring protest iliyopelekea machafuko nchi zinazozungukwa na jangwa LA Sahara Libya, Syria, nk. kweli kikulacho ki nguoni mwako
 
Mtanzania amejua Obama juzi anataka kutufunza kumhusu.. Kweli Tz imejaa Bongolala. Obama is the son of sir Obama and his native home is K'ogalo Siaya County Kenya. He's been with us even before anybody knew who he was.View attachment 1233220View attachment 1233221View attachment 1233223

Anakotoka Obama dunia nzima inajua, acha kukurupuka bila hoja ya msingi, hana tofauti na wale colonial puppets, siku akifa hivi ndivyo waafrica watamuenzi, uwe unasoma unaelewa. Wazazi wako waliuza n'gombe kupeleka binadamu shule na sio n'gombe nyenzie[/QUOTE]
 
Mtanzania amejua Obama juzi anataka kutufunza kumhusu.. Kweli Tz imejaa Bongolala. Obama is the son of sir Obama and his native home is K'ogalo Siaya County Kenya. He's been with us even before anybody knew who he was.View attachment 1233220View attachment 1233221View attachment 1233223
Hahaha ningekushangaa saaana kama usingeleta hizi pictures mbili, sababu ndio hizo tu zipo kuonesha Obama ni Mkenya, tuletee picture akivua omena ndio tutajua kweli hili jaluo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom