Wewe una dalili zote za mtu asiye sawa kichwani; Hivi unaweza kuwaambia watu wazima mara ngapi kitu kile kile? Kama hujui msimamo wangu kuhusu Symbion katafute gazeti la Mwanahalisi Toleo la Mei 25, 2011 na usome makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari "Symbion isijiingize tope la Dowans".
Ilikua mitambo chakavu na isiyofaa ,leo kanunua mmarekani hiyo mitambo ghafla inafaa.
Hilo tope ulilokuwa ukilipaka limekuchafua mwenyewe.
Dowans wameshinda kesi ya Kimataifa mliofunguwa wenyewe, fedha wanalipwa, mitambo wameuza na ndiyo inatumika mpaka leo, hawakuwa na dhambi hata chembe kasoro ya zile mlizokuwa mnazibuni watu kama wewe. Mitambo hiyohiyo ikatembelewa na Mama Clinton na jana Kubwa Lao, Rais Barack Hussein Obama.
Kiko wapi? wewe una akili kushinda Obama?
Ungekuwa unajua kinachoendelea ungeinamisha kichwa kwa aibu; hivi hujiulizi ni kwanini Wamarekani ndio walikimbilia kumuokoa Kikwete? Au hujajiuliza kwanini Rostam licha ya kuwa kwenye kundi la wafanyabiashara ambao wangeonana na Obama jina lake likakatawa?
what your saying is wrong obama kama obama au america kwa ujumla wanaangalia interest zao na si ccm unayojaribu kuitetea hapa .hao walishateleza kwenye maamuzi yao wakubaliane na matokeoSo Downs ilikuwa kampuni halali siyo? tume ya Mwakyembe ni wazushi!???
kama ni halali, kwa nini Obama asijui historia ya hiyo mitambo???