funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,487 Sep 23, 2011 #1 Obama kamharibia jamaa pembeni yake pozi lol
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,439 Sep 23, 2011 #2 kwa nini huyu kmuu anapenda sana kupiga picha,nashindwa kuelewa!
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,470 Reaction score 9,053 Sep 23, 2011 #3 timing za picha si mchezo, naona kajifikisha 🙂
Sabry001 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,064 Reaction score 355 Sep 23, 2011 #4 Naona baba rizim kajiweka pembeni anauza thura...!
Adrian Stepp R I P Joined Jul 1, 2011 Posts 2,764 Reaction score 2,600 Sep 23, 2011 #5 Sabry001 said: Naona baba rizim kajiweka pembeni anauza thura...! Click to expand... ha ha ha ha kwa kujichomeka ZUMBUKUKU nomaa
Sabry001 said: Naona baba rizim kajiweka pembeni anauza thura...! Click to expand... ha ha ha ha kwa kujichomeka ZUMBUKUKU nomaa
ndenga JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,887 Reaction score 1,554 Sep 23, 2011 #6 Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!!
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Sep 23, 2011 #7 sio kwamba imechakachuliwa hiyo?
K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 762 Sep 23, 2011 #8 Kwanini asingenyoosha mkono wa kushoto?
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,159 Sep 23, 2011 #9 mbona ktk mobile hakuna picha?
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 536 Sep 23, 2011 #10 Likwanda said: mbona ktk mobile hakuna picha? Click to expand... hiyo mobile yako siyo, mchina wangu ananionesha picha nzuri
Likwanda said: mbona ktk mobile hakuna picha? Click to expand... hiyo mobile yako siyo, mchina wangu ananionesha picha nzuri
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Sep 23, 2011 #11 funzadume said: Obama kamharibia jamaa pembeni yake pozi lol Click to expand... Angeinua wa kushoto ingekuwa bomba sana
funzadume said: Obama kamharibia jamaa pembeni yake pozi lol Click to expand... Angeinua wa kushoto ingekuwa bomba sana
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Sep 23, 2011 #12 Kifulambute said: Kwanini asingenyoosha mkono wa kushoto? Click to expand... Muungwana angejiskia vibaya sana. Kaifungia safari hiyo snap.
Kifulambute said: Kwanini asingenyoosha mkono wa kushoto? Click to expand... Muungwana angejiskia vibaya sana. Kaifungia safari hiyo snap.
Wun JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 358 Reaction score 72 Sep 23, 2011 #13 Likwanda said: mbona ktk mobile hakuna picha? Click to expand... Itakuwa mchina.halafu mkono wa obama umefanyiwa phone editing siyo wa uhalisia
Likwanda said: mbona ktk mobile hakuna picha? Click to expand... Itakuwa mchina.halafu mkono wa obama umefanyiwa phone editing siyo wa uhalisia
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Sep 23, 2011 #14 Ndibalema said: Muungwana angejiskia vibaya sana. Kaifungia safari hiyo snap. Click to expand... Lazima angeomba irudiwe!:mvutaji:
Ndibalema said: Muungwana angejiskia vibaya sana. Kaifungia safari hiyo snap. Click to expand... Lazima angeomba irudiwe!:mvutaji:
gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 Sep 23, 2011 #15 ndenga said: Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!! Click to expand... Ndenga kwa tafsiri ya kwetu ni ajali. Mchango wako kwenye hii post umeshabihiana sana na tafsiri ya Jina lako.
ndenga said: Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!! Click to expand... Ndenga kwa tafsiri ya kwetu ni ajali. Mchango wako kwenye hii post umeshabihiana sana na tafsiri ya Jina lako.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,257 Reaction score 13,265 Sep 23, 2011 #16 ndenga said: Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!! Click to expand... Kwani na nyie mlitakiwa muwepo?
ndenga said: Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!! Click to expand... Kwani na nyie mlitakiwa muwepo?
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,257 Reaction score 13,265 Sep 23, 2011 #17 Safari_ni_Safari said: Angeinua wa kushoto ingekuwa bomba sana Click to expand... Huyo jamaa wa kushoto angenuna sana,kaipandia ndege hiyo picha.
Safari_ni_Safari said: Angeinua wa kushoto ingekuwa bomba sana Click to expand... Huyo jamaa wa kushoto angenuna sana,kaipandia ndege hiyo picha.
MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 6,220 Reaction score 3,917 Sep 23, 2011 #18 Kifulambute said: Kwanini asingenyoosha mkono wa kushoto? Click to expand... Nahisi alishanyoosha ila JK akawahi kumuambia 'unaniziba bwana' ndio akachenji mkono.
Kifulambute said: Kwanini asingenyoosha mkono wa kushoto? Click to expand... Nahisi alishanyoosha ila JK akawahi kumuambia 'unaniziba bwana' ndio akachenji mkono.
Profesa JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 903 Reaction score 627 Sep 23, 2011 #19 Doh Baba naniii hapo confo zero maana kazungukwa na mipandikizi ya kiuchumi na kisiasa, hakawii kaambiwa soga hapa dogo na wewe uonekane si unaona sura nyingine hizo zinajiamini sana tu ila ya Baba Riz, dah hana uhakika what neksti
Doh Baba naniii hapo confo zero maana kazungukwa na mipandikizi ya kiuchumi na kisiasa, hakawii kaambiwa soga hapa dogo na wewe uonekane si unaona sura nyingine hizo zinajiamini sana tu ila ya Baba Riz, dah hana uhakika what neksti
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,645 Sep 23, 2011 #20 Mbona kama anamshangaa BO, chek macho