Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,590
- 1,682
Huyu jamaa Baraka anaalika vilaza wenzake! DDoh, Afrika nzima amekosa watu wenye fikra anaalika hawa? Hapo laba Meles tu niye anaweza kujenga hoja. Huyu wa Benin ni kwa vile nchi yake inafanya vizuri sana kiuchumi. Lakini JK yumo orodhani kwa kipi?