Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Ila Rais awaruhusu wa Cuba Internet ianze ku acses.. Kwa Sasa maisha bila Internet ni MAGUMU sana
Wanajifunza Urais, siyo huku kwetu mnamkurupusha mtu mnampa urais. Badala ya kuja na dira, anawapumbaza na vibwagizo. Ndio maana Bush alikuwa Rais, mtoto Rais na sasa mdogo mtu anausaka urais.Hivi hao watoto wa Obama hawana kazi ya kufanya?
Kila baba anakoenda na wao wapo!
Vikwazo vya kiuchumi vibaya sana! Cubans wameathirika mno na vikwazo ila wanajitahidi tu kuficha umaskini wao.Safi safi safi!!!
mbona haya magari ni ya miaka ya 70? hawana magari mapya?
Kwahiyo tutarajie rizmoja kuwa Rais muda sio mrefuWanajifunza Urais, siyo huku kwetu mnamkurupusha mtu mnampa urais. Badala ya kuja na dira, anawapumbaza na vibwagizo. Ndio maana Bush alikuwa Rais, mtoto Rais na sasa mdogo mtu anausaka urais.
Serikali ya Cuba yenyewe haitaki utandawazi maana wanajua wananchi wakijanjaruka itakula kwao!Ila Rais awaruhusu wa Cuba Internet ianze ku acses.. Kwa Sasa maisha bila Internet ni MAGUMU sana
Mzigo mzito mpe Mnyamwezihuyu jamaaa obama safi sana..naona securities karibu wote blacks...big up sana
Huyu Rais Raul hana mke?![]()
First Lady Michelle wore an eye-watering pair of patent black stilettos with her v-neck floral summer dress and bright red earrings, while President Barack Obama and President Raul Castro opted for simple dark suits, white shirts and ties in different shades of blue
![]()
The President and First Lady are seen arriving at the Palace Of The Revolution in Havana to greet President Castro on Monday night
![]()
Michelle, who towered over President Castro, appeared to entertain the crowd as she spoke after greeting them
![]()
Obama and first lady Michelle Obama were joined at the dinner by senior White House staff and several members of Congress
Wanajifunza Urais, siyo huku kwetu mnamkurupusha mtu mnampa urais. Badala ya kuja na dira, anawapumbaza na vibwagizo. Ndio maana Bush alikuwa Rais, mtoto Rais na sasa mdogo mtu anausaka urais.Hivi hao watoto wa Obama hawana kazi ya kufanya?
Kila baba anakoenda na wao wapo!
hata ukiwa muda mrefu anaweza kuwa raisKwahiyo tutarajie rizmoja kuwa Rais muda sio mrefu
Sidhani, atasubiri sanaWanajifunza Urais, siyo huku kwetu mnamkurupusha mtu mnampa urais. Badala ya kuja na dira, anawapumbaza na vibwagizo. Ndio maana Bush alikuwa Rais, mtoto Rais na sasa mdogo mtu anausaka urais.
hata ukiwa muda mrefu anaweza kuwa rais
Labda kwako na si kwa wote kama unavyodhani!Katika waafrika wenye bahati basi obama ndio namba moja.
Nina hamu na kuona ya huku wazee wa kujitegemea!Vikwazo vya kiuchumi vibaya sana! Cubans wameathirika mno na vikwazo ila wanajitahidi tu kuficha umaskini wao.
Labda 90000000 kama atakuwa haiiiiiii!Kwahiyo tutarajie rizmoja kuwa Rais muda sio mrefu
Mbona wa afrk tunapenda kujpendekeza hivi yaan hadi kero! Huyo obm hta akiwa wa msoga hwzi kukujua ww!?Unafeel connection tu na huyo mtanzania ambae baba yake alihamia kenya baada ya kutoka pale tarime
acha ushamba wewe!hapa watu wanapiga gumzo tu,umekaa ukaona hapa ndiyo pakutokea,kila kiti unachukulia viiiileeee,karibu mjiniMbona wa afrk tunapenda kujpendekeza hivi yaan hadi kero! Huyo obm hta akiwa wa msoga hwzi kukujua ww!?
Tafadhali naomba unieleweshe ulichoandika ki; ukweli sijakuelewa!acha ushamba wewe!hapa watu wanapiga gumzo tu,umekaa ukaona hapa ndiyo pakutokea,kila kiti unachukulia viiiileeee,karibu mjini
kumbe huelewi unachangiaje usichokijuaTafadhali naomba unieleweshe ulichoandika ki; ukweli sijakuelewa!
Duuuh!! We nahic cyo mtz! Nieleweshe umeandika nn maana cjakuelewa?!!kumbe huelewi unachangiaje usichokijua
Achana na hiyo gari mkuu inaitwa Cadillac pesa yake ukipewa unaweza ukatanua mpaka uchoka na bado ipoSafi safi safi!!!
mbona haya magari ni ya miaka ya 70? hawana magari mapya?
Cuban and American flags were flown from the president's car as it left the airport in the direction of Havana's Old Town, where he will be given a tour this evening![]()
![]()
Obama waves after his arrival on Jose Marti Airport in Havana before being driven into the city for a tour of its Old Town district
![]()
The weather is said to have taken a turn for the worse just moments before the President landed