Obama in Cuba Photos

Obama in Cuba Photos

Hahaaaa!, kwamba Rais wa Marekani ni important mno kiasi analindwa na aliens!...lol!

USA BABY! 😀
Mweee ndugu yangu acha tu ,ndio hivyo wacha tuendelee tu kuwaamini hao USA BABY ,maana mtu naishi Mpiji Majohe nitakataa vipi sasa
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hatimaye yametimia
 

Attachments

  • 1458586474239.jpg
    1458586474239.jpg
    18.8 KB · Views: 37
Hivi hao watoto wa obama wanasoma kwenye ndege ua? Maana anazunguka nao tu kila kona dunia hii anapoenda
 
Hahaaaa!, kwamba Rais wa Marekani ni important mno kiasi analindwa na aliens!...lol!

USA BABY! 😀

'Low energy' Kui!

Hiyo catchphrase hujaitendea haki kabisa bila kuweka vile vi emoticons vya Old Glory.

USA baby
upload_2016-3-21_18-29-29.png
upload_2016-3-21_18-29-30.png
upload_2016-3-21_18-29-30.png
upload_2016-3-21_18-29-31.png
upload_2016-3-21_18-29-32.png
upload_2016-3-21_18-29-34.png
upload_2016-3-21_18-29-35.png
.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Aisee waCuba wamefurah kwa kurud uhusiano wao na USA

Wataachaje kufurahi mbele ya USA?

Hukuwaona wala vumbi walivyokimbizana utadhani mifugo waliofunguliwa toka zizini siku Obama alipotembelea TZ?

Sasa, kwa kawaida mimi huwa situngi mambo [maana wala vumbi wenye hasira wasije wakadai nimezusha bure].

Jionee mwenyewe kwenye hii video.



USA baby
upload_2016-3-21_18-30-56.png
upload_2016-3-21_18-30-57.png
upload_2016-3-21_18-30-58.png
.
 
Mi najiuliza ikiwa Trump akawa POTUS, blacks wataendelea kuonekana ikulu kama staff? Maana saivi ni kawaida kukuta Obama kazungukwa na njemba kama sita hivi zote nyeusi tiiii
Hizo Njemba ni miraba saba Halafu wote The marines sio nchezo.
 
Ha ha ha! Kama ndivyo basi hiyo ni proof beyond reasonable doubt kwamba "yasiyowezekana kwa mwanadamu, kwa Mungu yawezekana". Pale ambapo Catro aliona kabisa haiwezekani US kuwa na black president; tena kwamba haiwezekani Vatican kuongozwa na Latin Pope hayo yamewezekana na yametokea angali ana pumzi ili aushuhudie ukuu wa Mungu - Mungu ambaye regime za madikteta wa kisoshalisti walimtukana vya kutosha enzi hizo. Dhihaka zake kumbe unabii ulikuwa unatimia hivyo.
Commander Fidel Castro na utabiri kuhusu Rais Mweusi Marekani:-

In 1973, just returned from a visit to Vietnam, Commander Fidel Castro was (speaking to international journalists). The journalist Bryan Davis from an English agency asked: “When do you think relations between Cuba and the United States, two countries as far away despite the geographical proximity, will be restored?”. Fidel Castro stared and replied to all who were in the room: “United States will come to talk to us when they have a black president and the world has a Latin American pope.
Jaman embu tuangalie kwa undani zaidi!! Kwanini hii imewezekana kipind hiki?? Ina maana castro alijua kabisa hii itatokea?? Na kwa nini baada ya kuwa na pope na black usa president urafiki wao ukarudi??
 
natamani sana siku moja nilale kitanda kimoja na huyo binti yake Sasha tukiwa uchi kama tulivyo zaliwa

eeeh mungu izinisha tu atakama nitakukosea


Yaani hapa ndipo umedhihirisha Mungu ana viumbe wengi sana.....
Umewaza jambo gumu sana kaka lakini pengine sala imefika.
 
duh...cuba kama bongo vile
Freeland usisahau wa Cuba walitutoa hapa Bongo wakati wa Mwalimu.
Walijenga shule nyingi ikiwemo IFAKARA shule maarufu ya kilimo
Zahanati kibao,Walimu UDS.
Jamaa hawa nawahusudu sana tu.
 
mkuu umeniwahi sijui hawa watoto hawasomi?
Sijui kama wanaenda shule,nahis watakuwa wana walimu na wanafundishiwa home, ila jua kama liz anajitanua kiasi hiki je wa obama
 
Yaani hapa ndipo umedhihirisha Mungu ana viumbe wengi sana.....
Umewaza jambo gumu sana kaka lakini pengine sala imefika.
naam anatupenda na kutupatia vilivyo bora
katika vingi hivo labda hili pia lipo katika ratiba yake kwangu.
 
Back
Top Bottom