Obama in Cuba Photos

Obama in Cuba Photos

Mi najiuliza ikiwa Trump akawa POTUS, blacks wataendelea kuonekana ikulu kama staff? Maana saivi ni kawaida kukuta Obama kazungukwa na njemba kama sita hivi zote nyeusi tiiii
 
Mi najiuliza ikiwa Trump akawa POTUS, blacks wataendelea kuonekana ikulu kama staff? Maana saivi ni kawaida kukuta Obama kazungukwa na njemba kama sita hivi zote nyeusi tiiii

Braza, inategemea !
 
Watoto wanazidi kukua na kunawiri...juzi tu huyo sasha alikua anabebwa...ila hii caption nimeipenda zaidi
1458549598853.jpg
 
Hivi hao watoto wa Obama hawana kazi ya kufanya?

Kila baba anakoenda na wao wapo!
kaka kipindi kile wamekuja hapa kwetu. nasikia walikuwa na mwl wao ktk msafara ule.hakuna kinachowapita kwa upande huo zaidi uya kuongeza maarifa
 
Back
Top Bottom