Mweee ndugu yangu acha tu ,ndio hivyo wacha tuendelee tu kuwaamini hao USA BABY ,maana mtu naishi Mpiji Majohe nitakataa vipi sasaHahaaaa!, kwamba Rais wa Marekani ni important mno kiasi analindwa na aliens!...lol!
USA BABY! 😀
Aaaamiin...Ish....
Mimi ndio nataka kuvipiga wewe unaniletea habari za vibinti tena?
Anyways.... Insha'Allah kheyr.
Afadhali na Bongo babakeduh...cuba kama bongo vile
Hivi Obama ni mzungu kumbe, sikujua hilonimewakubali wazungu na wao ndio wanaotekeleza dhana ya uongozi ni dhamana kwa vitendo kiongozi mkuu anashika mwamvuli mwenyewe?
na wew unavaa hivyo nifar mapaja njenje..Napenda sana picha za family ya Obama, hata sijui kwanini.
Labda ni vile vivazi vyao matata,na wanajua kuvaa kwelikweli.
Wapi alipo USA Baby,amelala mda huu.
Familia bora duniani;
mwanamke mwenzetu ndo kaolewa.
Hahaaaa!, kwamba Rais wa Marekani ni important mno kiasi analindwa na aliens!...lol!
USA BABY! 😀
Aisee waCuba wamefurah kwa kurud uhusiano wao na USA
Ila wao wametuacha mbali ikiwa pamoja sarakas za kule visiwani!!duh...cuba kama bongo vile
That can never happen!!!Soon tutasikia Cuba nayo ipo NATO.Then hapo Russia ndo atakuwa amebanwa mbavu hadi pumzi kumuishia
Hizo Njemba ni miraba saba Halafu wote The marines sio nchezo.Mi najiuliza ikiwa Trump akawa POTUS, blacks wataendelea kuonekana ikulu kama staff? Maana saivi ni kawaida kukuta Obama kazungukwa na njemba kama sita hivi zote nyeusi tiiii
Ha ha ha! Kama ndivyo basi hiyo ni proof beyond reasonable doubt kwamba "yasiyowezekana kwa mwanadamu, kwa Mungu yawezekana". Pale ambapo Catro aliona kabisa haiwezekani US kuwa na black president; tena kwamba haiwezekani Vatican kuongozwa na Latin Pope hayo yamewezekana na yametokea angali ana pumzi ili aushuhudie ukuu wa Mungu - Mungu ambaye regime za madikteta wa kisoshalisti walimtukana vya kutosha enzi hizo. Dhihaka zake kumbe unabii ulikuwa unatimia hivyo.
Jaman embu tuangalie kwa undani zaidi!! Kwanini hii imewezekana kipind hiki?? Ina maana castro alijua kabisa hii itatokea?? Na kwa nini baada ya kuwa na pope na black usa president urafiki wao ukarudi??Commander Fidel Castro na utabiri kuhusu Rais Mweusi Marekani:-
In 1973, just returned from a visit to Vietnam, Commander Fidel Castro was (speaking to international journalists). The journalist Bryan Davis from an English agency asked: “When do you think relations between Cuba and the United States, two countries as far away despite the geographical proximity, will be restored?”. Fidel Castro stared and replied to all who were in the room: “United States will come to talk to us when they have a black president and the world has a Latin American pope.
natamani sana siku moja nilale kitanda kimoja na huyo binti yake Sasha tukiwa uchi kama tulivyo zaliwa
eeeh mungu izinisha tu atakama nitakukosea
Freeland usisahau wa Cuba walitutoa hapa Bongo wakati wa Mwalimu.duh...cuba kama bongo vile
Sijui kama wanaenda shule,nahis watakuwa wana walimu na wanafundishiwa home, ila jua kama liz anajitanua kiasi hiki je wa obama [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mkuu umeniwahi sijui hawa watoto hawasomi?
naam anatupenda na kutupatia vilivyo boraYaani hapa ndipo umedhihirisha Mungu ana viumbe wengi sana.....
Umewaza jambo gumu sana kaka lakini pengine sala imefika.