Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,176
- 143,958
Mitt Romney hawezai kushindana na Obama sasa hivi upeo wao umepishana sana. Romney anajicontradict kwa kila jambo. Donald Trump ana chuki binafsi
Obama yuko overrated sana. Halafu hana upeo kama unavyodai. Ni wa kawaida sana. Obama hata Bill Clinton huwezi kumlinganisha naye.
Kwenye primaries za 2008 mama Clinton alikuwa akishinda debates zao zote. Sema Obama alikuwa na kismeti tu kwa vile alikuwa mgombea mwenye historical significance.
Halafu unamu underestimate Gov. Romney. Jamaa ana shahada mbili za mkupuo toka Harvard....ya sheria (Juris Doctor) na MBA. Siyo kilaza hata kidogo.
Do you believe kazaliwa Kenya?
sidhani kama Obama amezaliwa Kenya, na hata hivyo wamerekani wasingekubali kumpa urais kama kazaliwa nje ya nchi. Hizi ni siasa lazima wachafuane na kuuaminisha umma kuwa hakuzaliwa US.
Hilo jibu ndo kila asiyempenda Obama huwa analisema...he he he!.I take him for his word.
Do you believe he was born in Kenya?
Obama yuko overrated sana. Halafu hana upeo kama unavyodai. Ni wa kawaida sana. Obama hata Bill Clinton huwezi kumlinganisha naye.
Kwenye primaries za 2008 mama Clinton alikuwa akishinda debates zao zote. Sema Obama alikuwa na kismeti tu kwa vile alikuwa mgombea mwenye historical significance.
Halafu unamu underestimate Gov. Romney. Jamaa ana shahada mbili za mkupuo toka Harvard....ya sheria (Juris Doctor) na MBA. Siyo kilaza hata kidogo.
Hilo jibu ndo kila asiyempenda Obama huwa analisema...he he he!.
Are you really serious?? Its not about how many degrees you have, its what your "Resume" or "CV" says. In other words you run for office based on your record. Mitt has a poor record when he was Governor of Massachusets (47 out of 50 in Jobs creation). He claims to be a great business mind....when he worked for Bain Capital (Private Equity Firm), he was a champion of outsourcing US Jobs overseas...no wonder he won't release his Tax returns, because he knows there is a lot of dirt. I mean the list goes on and on.
Republicans are trying hard to divide Americans (Whites against other races) by bringing up his Birth issue, while they know for the fact that, he was born in Hawaii. Thats the only card they have, because they are on the wrong side when it comes to issues which matters most to the American people, like Jobs, Healthcare etc.
Nyani,Teh teh teh...good try for memorizing those talking points.
But what record did Obama have when he ran for president as compared to Hilary?
Nyani,
Ni kweli record ya Hillary in 2008 was much better than Obama's. Lakini unachosahau pia ni kwamba uchaguzi is like a beauty contest. Ndio maana Obama alimshinda Hillary, akamshinda McCain, na atamshinda Mitt. Can you imagine a president with a name Mitt? Is he a cat?
Jamaa hawa wanasema hako kamefanyiwa uchakachuaji.umeitoa wapi hii mamii?
Obama is a surname. His first name is Barack. Baraka. It is like Goodluck Jonathan of Nigeria. Hawa watu wana baraka.If there is a president with a name like Obama I see no issues with having a president named Mitt.
Obama is a surname. His first name is Barack. Baraka. It is like Goodluck Jonathan of Nigeria. Hawa watu wana baraka.
You can't beat that. But Mitt?
I don't think Donald Trump is that stupid
hapo ndo nabaki nashindwa la kuamini
Baraka Hussein Obama? What the hell is that?
That is even worse. Willard the witch? Who in his right mind would name his son Willard? And then Mitt? Oh, boy!Mitt is a middle name. His first name is Willard. His whole name is Willard Mitt Romney.
Baraka Hussein Obama? What the hell is that?