Obama Family Potrait 2011: All Smiles

Kuna mitoto mingine kasaidiwa.

article-1358654-0D434280000005DC-607_964x553.jpg
 
Hako ka upande wa kulia (hako kadogo) kazuri sana. Mi nakapenda sana.

Peleka posa basi walau kama yule mkenya na chelsea clinton au umeshazeeka kama mimi?

Ukitangaza nia tu kesho tutaona kwenye CCN Breaking News "Tanzanian man callled Nyani Ngabu proposed marriage to Sasha Obama"...watu ahaaaaaa
 
Weee unataka Secret Service wanigongee hodi mlangoni eeh....lol. Afadhali hata yule Mkenya maana Chelsea hakuwa minor wakati jamaa alipofunguka juu yake. Sasha bado kinda sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom