Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
JK aweke nae yake!!tuone ni nzuri sana
Hii ni lini tena mkuu?
amebarikiwa kwa kweli..
Umejuaje baba collins, kwanza hawatatosha labda kamera ziwe mbiliAnaogopa kuonyesha hiyo timu yake ya mpira wa miguu.
Umejuaje baba collins, kwanza hawatatosha labda kamera ziwe mbili
nimekumiss!!!!!upo?
jk asithubutu kitu km hii coz anawatoto km wengi km kuku, ni aibu tupu kiongoz kukosa family plan sijui watu wa family planning walikua kona gani mpaka wakamuacha huyu kuku
Huyu kweli ni dume la mbeguHuyu ndiye mwanaume bwana.......The world's biggest family: The man with 39 wives, 94 children and 33 grandchildren
![]()
Huyu kweli ni dume la mbegu
jk asithubutu kitu km hii coz anawatoto km wengi km kuku, ni aibu tupu kiongoz kukosa family plan sijui watu wa family planning walikua kona gani mpaka wakamuacha huyu kuku
The wives and me: Mr Ziona Chana poses with his 39 wives at their home in Baktawng