Obama Family Potrait 2011: All Smiles

Umejuaje baba collins, kwanza hawatatosha labda kamera ziwe mbili

hahahahaah,, jamani mboni mnamuonea mkuu wa nchi yetu namna hii???,,ina maana kodi yetu inatumika kulisha timu ya mpira na sio familia??
 
jk asithubutu kitu km hii coz anawatoto km wengi km kuku, ni aibu tupu kiongoz kukosa family plan sijui watu wa family planning walikua kona gani mpaka wakamuacha huyu kuku
 
Huyu ndiye mwanaume bwana.......
The world's biggest family: The man with 39 wives, 94 children and 33 grandchildren​

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[/FONT]

​
 
The wives and me: Mr Ziona Chana poses with his 39 wives at their home in Baktawng

​
 
You treat this place like a hotel: With 100 rooms, the Ziona mansion is the biggest concrete structure in the hilly village of Baktawng in Mizoram, India

​
 
jk asithubutu kitu km hii coz anawatoto km wengi km kuku, ni aibu tupu kiongoz kukosa family plan sijui watu wa family planning walikua kona gani mpaka wakamuacha huyu kuku

mungu ametuleta dunia tukaijaze dunia. Unafikiri tukitumia family plan itakuaje!

Swala sio idadi ya watoto. Muhimu ni uwezo wa kuwalea. Kama wewe una uwezo wa kulea, zaa hata mia.
 
jk asithubutu kitu km hii coz anawatoto km wengi km kuku, ni aibu tupu kiongoz kukosa family plan sijui watu wa family planning walikua kona gani mpaka wakamuacha huyu kuku

Taratibu rafiki, si vema kuwaita binadamu kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…