Kuna vyama vina fifisha maendeleoMaendeleo Hayana Chama
Sijaelewa ata
Hebu nieleweshe bro nimesoma mara mbili mbili ila sijaelewa.
Kabla jamaa aja fanya trans gender eeh[emoji41]
Nmetoka kapa mkuu Cc;barbarosa
Naanza kuamini ule uvumi kwamba Michelle alikuwa Michael
Maendeleo Hayana Chama
Mkuu Da' vinc, umenitoa gizani now nimepata mwanga ngja nitarudia tena huu uzi wakoMwaka jana niliandika huu uzi
Tulikua tunadiskasi watu wanavyofanyiwa Cloning.. The baadhi waliteta pia kua Mke wa Obama aliwahi kua kidume akafanya kubadili jinsia.![]()
Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?
Human Cloning ni nini..? -Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii...www.jamiiforums.com
Ila wanesa eti kuna muda pipe hua inaonekana imetuna.
Sijui kama ni conspiracy au kweli
Ahsante sana mkuu karibuMkuu Da' vinc, umenitoa gizani now nimepata mwanga ngja nitarudia tena huu uzi wako
Enzi za obama akiwa mpishiHebu nieleweshe bro nimesoma mara mbili mbili ila sijaelewa.
Uongo mkubwa.
Hasa Hasa Kile Kile Ambacho Tunasema Marehemu Captain AlikiimbaKuna vyama vina fifisha maendeleo