Obama can't lead why ? Na kwa nini wasikilize simu ya POPE

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Obama ni by stander president ,hataki responsibilities na Hajui Kitu chochote kinachoendelea Kwenye administration yake ( au anajua ila anasikumia Watu wengine ) .Sasa hivi uongozi wake upo matatani sana .Health care law ( Obama care) imegundulika alidanganya Watu sasa wanapoteza insurance zao ,NSA Obama imegundulika Mpaka Pope Rome Italy na UN wanasikiliza simu zao ( sasa atakuwa mgeni aw Nani ?) .IRS Watu kibao hawajapata tax refund Yaani kutwaa ni Watu kujifanyia wanachotaka kisa Obama is a cool president .Obana Watu Woote wanaomfanyia kazi ni marafiki na ideology tuu .600 million dollar kwa ajili ya website isiyofanya kazi ( boss we kampuni ya kutengeneza website ni rafiki mkubwa wa Michelle ) .Kwa nini haswa Obama hawezi ongoza .Kila Kitu anajibu Hajui
 
Angekuwa hafai asingeshinda term ya pili...

Obama alipigiwa Kura kwa sababu zinazofanana na kikwete .Good looking he is cool na Ana family na ni first black president .Kikwete hivyo hivyo oh handsome na George w bush oh mtoto wa Rais na atakuwa Kama baba ake .Lini mtapiga kura kwa kuangalia experience na qualification ya Mtu Jamani .Rangi ,sura nzuri Mwacheni mwenyewe,.Bush worn second term why ??? .Tusubiri Ridhiwani na yeye sasa .Obama is affirmative president C student ndio maana will never release his grades .Unajua maana ya affirmative wewe .Unakubaliwa Chuo kikubwa kwa ajili yakuwa minority.OBAMA IS AFFIRMATIVE ACTION PRESIDENT .
 
I think he is just trying to be cautious by not directly being involved into decision making, kwa hali yake ya uafrika si ajabu kukuta majamaa wanamtafuta kwa kila njia ili wamuondoe, so to be on the safe side anafanya hivyo , he is a very smart lad, and he plays safe..kwa mtazamo wangu
 
Ya nchi yako yamevuka koo bado una muda wa kuwaza ya Obama?
Umedoo halafu hujaoga
 
Anajaribu kujiweka kando ili mataifa rafiki wasimshutumu yeye kwa kuwa informed but wawashutumu na kuwatoka kafara watumishi wa chini ili us ibaki safe.......This is another way of politicizing.
 
Hakuna Kitu .sasa historia yake itakuaje ? Alivyokuwa senator kura Zake zote "present " he can't make decisions .600 million dollars website isiyofanya kazi ,hakuna aliyefukuzwa kazi wala nini ?
 
Obama ni rais 'aliyechaguliwa' kwa kura za waungaji mkono ushoga na wahamiaji haramu toka America ya kusini.
Shame on Obama, sitashangaa kama yeye mwenyewe pia ni .............!!
 
I think he is just trying to be cautious by not directly being involved into decision making, kwa hali yake ya uafrika si ajabu kukuta majamaa wanamtafuta kwa kila njia ili wamuondoe, so to be on the safe side anafanya hivyo , he is a very smart lad, and he plays safe..kwa mtazamo wangu
Obama ni Mwafrika kwa sababu ya m Kenya .Baba ake hakumlea na hajawahi Ishi au lelewa na Mwafrika na bibi yake ambae ni mzungu ndio aliyemlea .Hata college alikuwa Hana roommate mweusi na hajawahi date Mtu mweusi Mpaka alivyokuwa Kwenye politics kutaka kura za weusi akajiopolea Michelle Obama .Michelle wakapelekana kwa the most influential preacher in a black community Jeremiah wright .Obama is half white and half Afrikan.Hana slave blood at all
 
Ingawa amekua katika mazingira ya weupe na hivyo kuwa na mentality ya weupe , ndio maana akachaguliwa kuingia white house, bado rangi yake ni tatizo kwa wale manazi wa siasa za marekani, hivyo kwa kulinda nafsi yake na mashitaka anacheza kwa uangalifu mkubwa asije kuingia matatani, hakuna kitu wazungu wanapenda kama kumuona mweusi akianguka, naamini bado wanatafuta namna sahihi ya kufanya hivyo, nadhani hiyo gvt shutdown ilikua mojawapo ya mbinu hizo lakini wakaja shtukia kua haitawasaidia sana zaidi ya kuharibu image yao kwa public na kuacha mpango huo, lakini tena bado hawatalala hawa watu and he will be very lucky kumaliza mhula huu wa mwisho bila kua na matatizo makubwa..umakini wake kwa namna flani unaweza tafsiri kama yupo weak and he is not a good leader but akijaribu kufanya mambo bila uangalifu, wanamuondoa mapema tu
 
Obama alipigiwa Kura kwa sababu zinazofanana na kikwete .Good looking he is cool na Ana family na ni first black president .Kikwete hivyo hivyo oh handsome na George w bush oh mtoto wa Rais na atakuwa Kama baba ake .Lini mtapiga kura kwa kuangalia experience na qualification ya Mtu Jamani .Rangi ,sura nzuri Mwacheni mwenyewe,.Bush worn second term why ??? .Tusubiri Ridhiwani na yeye sasa .Obama is affirmative president C student ndio maana will never release his grades .Unajua maana ya affirmative wewe .Unakubaliwa Chuo kikubwa kwa ajili yakuwa minority.OBAMA IS AFFIRMATIVE ACTION PRESIDENT .
Mtu ambaye alikua sahihi kushika nafasi ya urais baada ya bush ilikua yule mzee colin powel , lakini kwa bahati mbaya aliondoka na yale matatizo ya sep 11, alikua na support kubwa tu na qualifications za kutosha kwa cv tu yule alikua kiboko, lakini bahati mbaya nafasi haikua yake
 
Kwa jinsi hii thread ilivyokaa kaa ni kama natakiwa ama nim-criticize mleta mada au nimuunge mkono ingawaje bado cjapata jibu ikiwa ni-criticize, nifanye hivyo in favor of whom and for what reason na kama niunge mkono; nifanye hivyo kwa lipi hasa!! Nikiangalia hilo la ObamaCare au la mwana kufanyiwa kazi na washikaji, yote nayaona ni kama full internal matters, ingekuwa lile la drones nadhani labda ningepata pa kuanzia!

Anyway, labda hili la udukuzi; kama kweli jamaa wamedukua hadi Pope kwenye jamaa hawasazi!
 
Obama alipigiwa Kura kwa sababu zinazofanana na kikwete .Good looking he is cool na Ana family na ni first black president .Kikwete hivyo hivyo oh handsome na George w bush oh mtoto wa Rais na atakuwa Kama baba ake .Lini mtapiga kura kwa kuangalia experience na qualification ya Mtu Jamani .Rangi ,sura nzuri Mwacheni mwenyewe,.Bush worn second term why ??? .Tusubiri Ridhiwani na yeye sasa .Obama is affirmative president C student ndio maana will never release his grades .Unajua maana ya affirmative wewe .Unakubaliwa Chuo kikubwa kwa ajili yakuwa minority.OBAMA IS AFFIRMATIVE ACTION PRESIDENT .

experience ya urais inapatikanaje? ninyi ndo hata kwenye ajira mnataka watu wenye experience bila kujali waliotoka vyuoni watapatia wapi hiyo experience
 
wewe siku zote umpendi obama na ata kipind cha kampen ulikuwa unamponda. unajaribu kupotosha ukweli ni huu bado obama anapendwa ata uchaguz ufanyike leo atashinda tu.

pia marekan aijaanza leo kuchunguza simu za watu ata kabla ya obama. marekan anafanya hivo kuhakikisha raia wapo salama na ukae ukijua marekan ndio taifa lenye nguvu duniani.

hivo uache kumsingizia obama ndiye alianza kuchunguza simu za watu. pia sera ya obama ya afya inawajari raia wenye uwezo wa kati.

hivo nenda ukapotoshe kwa ndugu zako waliopo tz.adanganywi mtu apa
 
Ingawa amekua katika mazingira ya weupe na hivyo kuwa na mentality ya weupe , ndio maana akachaguliwa kuingia white house, bado rangi yake ni tatizo kwa wale manazi wa siasa za marekani, hivyo kwa kulinda nafsi yake na mashitaka anacheza kwa uangalifu mkubwa asije kuingia matatani, hakuna kitu wazungu wanapenda kama kumuona mweusi akianguka, naamini bado wanatafuta namna sahihi ya kufanya hivyo, nadhani hiyo gvt shutdown ilikua mojawapo ya mbinu hizo lakini wakaja shtukia kua haitawasaidia sana zaidi ya kuharibu image yao kwa public na kuacha mpango huo, lakini tena bado hawatalala hawa watu and he will be very lucky kumaliza mhula huu wa mwisho bila kua na matatizo makubwa..umakini wake kwa namna flani unaweza tafsiri kama yupo weak and he is not a good leader but akijaribu kufanya mambo bila uangalifu, wanamuondoa mapema tu
Government imeshawahi shut down more than 21 .Obama sio Rais wa kwanza ok .
 
wewe siku zote umpendi obama na ata kipind cha kampen ulikuwa unamponda. unajaribu kupotosha ukweli ni huu bado obama anapendwa ata uchaguz ufanyike leo atashinda tu.

pia marekan aijaanza leo kuchunguza simu za watu ata kabla ya obama. marekan anafanya hivo kuhakikisha raia wapo salama na ukae ukijua marekan ndio taifa lenye nguvu duniani.

hivo uache kumsingizia obama ndiye alianza kuchunguza simu za watu. pia sera ya obama ya afya inawajari raia wenye uwezo wa kati.F

hivo nenda ukapotoshe kwa ndugu zako waliopo tz.adanganywi mtu apa
Tell me 600 million dollar za website zipo wapi ? Kwa nini Ali promise Watu hawatapoteza insurance zao Na Wakati one million people wamepoteza insurance zao .Gall up poll this evening 40 percent akifika 39 tuuu.Ni lame duck president
 
experience ya urais inapatikanaje? ninyi ndo hata kwenye ajira mnataka watu wenye experience bila kujali waliotoka vyuoni watapatia wapi hiyo experience

Govern or management.Obama is affirmative action president .Mbona ametumia a lot of money kuficha grade Zake .Ma Rais Woote Wana onyesha grade zao yeye kulikoni ?
 
Back
Top Bottom