- Thread starter
- #21
Hiyo ni staili yake ya kuongoza na haina matatizo
He will be the worse president ever
Hiyo ni staili yake ya kuongoza na haina matatizo
Naomba umukumbushe kuwa, haya mambo yalianza wakati hata Obama hajawa Senator. Hizo zingine anatutemea bla bla tu!.wewe siku zote umpendi obama na ata kipind cha kampen ulikuwa unamponda. unajaribu kupotosha ukweli ni huu bado obama anapendwa ata uchaguz ufanyike leo atashinda tu.
pia marekan aijaanza leo kuchunguza simu za watu ata kabla ya obama. marekan anafanya hivo kuhakikisha raia wapo salama na ukae ukijua marekan ndio taifa lenye nguvu duniani.
hivo uache kumsingizia obama ndiye alianza kuchunguza simu za watu. pia sera ya obama ya afya inawajari raia wenye uwezo wa kati.
hivo nenda ukapotoshe kwa ndugu zako waliopo tz.adanganywi mtu apa
Bush, Dick Cheney and company walitumia dollar ngapi kule Iraq vile?.Tell me 600 million dollar za website zipo wapi ? Kwa nini Ali promise Watu hawatapoteza insurance zao Na Wakati one million people wamepoteza insurance zao .Gall up poll this evening 40 percent akifika 39 tuuu.Ni lame duck president
Obama ni rais 'aliyechaguliwa' kwa kura za waungaji mkono ushoga na wahamiaji haramu toka America ya kusini.
Shame on Obama, sitashangaa kama yeye mwenyewe pia ni .............!!
Tell me 600 million dollar za website zipo wapi ? Kwa nini Ali promise Watu hawatapoteza insurance zao Na Wakati one million people wamepoteza insurance zao .Gall up poll this evening 40 percent akifika 39 tuuu.Ni lame duck president
He will be the worse president ever
Wewe acha kupotosha watu,niko HGSE grades za Obama ziko wazi na hata ukizitaka ww unaweza kuziona bila wasiwasi. BHO academically was always smart and at the top of his class and everybody here knows and appreciates that. Angalia usije kuwa umeingia kwenye ule mtego wa Romney kwamba BHO hana cheti cha kuzaliwa hivyo co raia wa nchi. Ungesema kudukua simu za watu hapo ungekuwa sahihi,sio vizuri kabisa na mm napinga hiloGovern or management.Obama is affirmative action president .Mbona ametumia a lot of money kuficha grade Zake .Ma Rais Woote Wana onyesha grade zao yeye kulikoni ?
Obama kasoma HAVARD UNIVERSITY,bush ndiye RAISI MWENYE POOR RESULTS AMONG ALL AMERICAN PRESIDENTS.Govern or management.Obama is affirmative action president .Mbona ametumia a lot of money kuficha grade Zake .Ma Rais Woote Wana onyesha grade zao yeye kulikoni ?
lakini aftermath yake haingekua nzuri kama muafaka usingepatikana mapema, he was very likely kupoteza nafasi yake..na wangemuondoa kufanyika mara 21 haina maana kua yeye angesalimika..Government imeshawahi shut down more than 21 .Obama sio Rais wa kwanza ok .
Obama kasoma HAVARD UNIVERSITY,bush ndiye RAISI MWENYE POOR RESULTS AMONG ALL AMERICAN PRESIDENTS.
600 million dollar ya website isiyofanya kazi .hivi unakumbuka wakat Obama anaingia madarakani. uyo shemeji yako Bush alikuwa amearibu uchumi wa marekan. hali ilikuwa mbaya sana. viwanda vilifirisika lakin Obama alivyoingia amesaidia sana kuimarisha uchumi wa marekan.
tatizo lako uko kishabiki utabishana na ukweli
Watu wengine ushamba kuwazidi tu.wewe badala ya kuja na hoja za kujenga nchi yako. Unakandandia za wengine ambazo zishaendelea maradufu. Natalia u need a life. Hio natural citizenship sio umefika.
Inabidi awe Rais huko Tanzania mshazoea free stuff.Usa ni capitalist country kwa hiyo aende huko huko Africa Kwenye socialist ideas .Obamacare amegusa pabaya mnooo .600 million dollars na website haifanyi kazi .6 people ndio wanejiandikisha.Obama is the worst thing ever ever .Watu wengine ushamba kuwazidi tu.wewe badala ya kuja na hoja za kujenga nchi yako. Unakandandia za wengine ambazo zishaendelea maradufu. Natalia u need a life. Hio natural citizenship sio umefika.
Hakuna kizuri alichofanya zaidi ya kuharibu nchimim pia namshangaa sana sijui obama alimfanya nini hoja zake zote ni kuonyesha mabaya tu mazuri asemi
Hakuna kizuri alichofanya zaidi ya kuharibu nchi
Wewe ndio zero kisiasa .You need to respects pinion ya Mtu .I respect the fact unamzimia Obama I don't know why ?.Mimi ni conservative na wewe ni liberal .i believe in small government wewe big government ,I don't believe in abortion and gay movement wewe Una believe in gay movement na abortion is ok,Self reliance is good na wewe liberal unasubiri serikali ikulishe na kukuvalisha .Wewe ni liberal mta mtetea Obama wewe ila sasa teshamstukia " He can't lead na Jana Clinton alisema akiwa Virgia " mnaitaji Rais anayefanya kazi na Watu wote congress ,Jimmy carter nae anashangazwa na Obama anavyoongoza nchi unalo hil😵bama ni worse than Mugabe ila uzuri wake USA inejengwa Kwenye system nzuri hawezi Fanya Kitu chochote bila congress .ujui ulisemalo Bush ndio alikuwa amearibu nchi. siwez kubishana na wewe maana ujui lolote kuhusu siasa za marekani unaongea kiushabiki.
bora uamie kwenye kushabikia wasanii wa music na filamu au uzungumzie siasa za Tanzania. achana na siasa za marekan maana unaongea pumba tu
Wewe ndio zero kisiasa .You need to respects pinion ya Mtu .I respect the fact unamzimia Obama I don't know why ?.Mimi ni conservative na wewe ni liberal .i believe in small government wewe big government ,I don't believe in abortion and gay movement wewe Una believe in gay movement na abortion is ok,Self reliance is good na wewe liberal unasubiri serikali ikulishe na kukuvalisha .Wewe ni liberal mta mtetea Obama wewe ila sasa teshamstukia " He can't lead na Jana Clinton alisema akiwa Virgia " mnaitaji Rais anayefanya kazi na Watu wote congress ,Jimmy carter nae anashangazwa na Obama anavyoongoza nchi unalo hil😵bama ni worse than Mugabe ila uzuri wake USA inejengwa Kwenye system nzuri hawezi Fanya Kitu chochote bila congress .