Obama can't lead why ? Na kwa nini wasikilize simu ya POPE

Obama can't lead why ? Na kwa nini wasikilize simu ya POPE

mkan466l.jpg
 
Hiyo ndio kasheshe za Laissez faire system of government. Anadhani bado yupo University, unatoa lecture halafu unaingia zako mitini.
Obama Care itafanyikiwa tu, cha muhimu Ni kufix hiyo website. Watu wengi hawana insurance na maradhi ndio yanazidi kucharuka.
IRS ........ Well, its no his domain. the congers controls America's purse- strings. It controls spendings and taxation.
NSA- nadhani kupekuana imo kwenye Principles of International Relations. Everyone is doing it. Nadhani Hata Kagame halali bila kujua Sinbad wetu anafikiria nini.
 
After Obama, ma-republicans /conservatives/ Torries/Whighs na CHADEMA tunawaletea Elizabeth Warren.

Chezeya progressive minds ..... They always win.
 
Tantalila zako nyingi sana, unataka kumlaumu Obama kaharibu nchi lakini uko kimya kuhusu madudu aliyofanya Kichaka. Alidanganya dunia kwamba kule walikovamia kuna silaha za maangamizi na wanajua silaha zile zilipo. Wakaahidi uvamizi ule ungetumia $30 million tu lakini ukweli ni kwamba kiasi kilichotumika ni zaidi ya $1 Trillioni. Imagine kama hii pesa zingekuwa invested katika uchumi wa US nchi ingepaa sana kiuchumi na uchumi wa US ukifanya vizuri basi na uchumi wa dunia pia hufanya vizuri. Haya mabaya ya Kichaka huyaoni ila unataka kumlaumu Obama kwa matatizo yote ambayo asilimia kubwa kayarithi toka kwa Kichaka. Acha hizo muke ya muzungu!!!!

Hakuna kizuri alichofanya zaidi ya kuharibu nchi
 
Natalia kujadili kwanini website ya obamacare haifanyi kazi ipasavyo ni kukosa akili, swala lilikua ni vp Obamacare itakua rafiki kwa Kila mtu baada ya republicans kushindwa hiyo hoja wamegeukia kwa site.

Pili, uliza ni sababu zipi zinafanya site isiwe vizuri hadi sasa, ile ni site itayochukua details za watu wengi sana na details za uhakika, usidhani watu wataandika majina ya uongo mule kama JF. Swala la uwezo wa server na security lazima lizingatiwe sana kwa hiyo site nashangaa hujasikia kwamba hizo 600mil zinadaiwa kuwa chache kwa site kama hiyo.

Obama hajaweka cheti cha kuzaliwa hadharani sio matokeo.

Unakelele nyingi huku hamna hujualo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom