Obama azidi kuibomoa USA!

Obama hahusiki na huo ujinga! Rockefeller na Morgan family ndio wanaofanya hayo maamuzi.Obama yeye anambiwa atangaze tu kile jamaa wanachotaka.
 


Lakini bado haujibu maswali yangu, wewe umesema kwamba USA haiwajahi kuwa nchi ya Kikristo nimekupa maswali unijibu unaanza kunipa stori zako, nimekuuliza ni kwa nini wasema so help me God kama nchi haina Dini na tena kushika Biblia? Ni kwa nini Obama alisema USA is no longer a christian nation it used to be nataka majibu y ahayo maswali kama ukipenda??
 
Mkuu inabidi niache kufata threads zako... Kwa maana unaleta vitu huku unavitwist viwe in your favor ! Nmequote kama nilivyoikuta kwenye website..

U. S. 'no longer a Christian Nation'

"Barack Obama made the statement with pride…'we are no longer a Christian nation; we are now a Nation of Christians, Muslims, Buddhists, . ."

Mkuu nmekwambia wazi kuwa founding fathers wa america walikuwa open kabisa ! Na hii inajidhihirisha wazi kwenye katiba yao !
Hayo unayoyasema wewe ni kukengeuka kwa viongozi wa baadae ambao walikuwa na mihemko ya kidini ! Actually kwenye katika ya marekani hakuna neno god ! Angalia hàpa [emoji116] [emoji116]

Things That Are Not In the U.S. Constitution - The U.S. Constitution Online - USConstitution.net
 
Issue ya kushika bible wakati wa kuapa ni kawaida ! Mtu anaapa kwa kitu anachokiamini ! Kuapa kwa magu kwa kutumia bible haina maana ya kwamba tanzania ni nchi ya kikristo !
 


Ni kwa nini unashindwa kujibu maswali matokeo yake unaninukulia maandishi, nimekuuliza swali linaloweleka nahisi, kwamba hiyo sentensi we are no longer a christian nation? maana yake ni nini?
Ningependa unijibu hapo tu kama ukipenda wala hauna haja ya kunukuu Katiba yoyote ile ni swali la logic tu, maana ya hiyo sentensi we are longer a christian nation ni nini?
 




Mkuu omba samahani kwanza kwa kutoa uongo mbele ya wachangia thread
 
Mkuu omba samahani kwanza kwa kutoa uongo mbele ya wachangia thread


Ni kwa nini unakataa kujibu maswali yangu we are no longer a christian nation maana yake nini?
 
teh teh hivi unajua maana ya in god we trust???
 
Ni kwa nini unakataa kujibu maswali yangu we are no longer a christian nation maana yake nini?
Kwanza naomba uombe msamaha and umalizie hiyo kauli ya Obama ! Then tutaendelea..
 
Barbarosa Kazi yako hapa jamvin inaheshimika na msimamo wako juu ya ushoga & Obama company hapa unaeleweka. Nafurahi kuona ukiendeleza mapigano hata wakati ambapo sisi wengine uchovu umeanza kutuingia kiukweli Obama ndio rais wa ovyo kuwaikutokea duniani
 
ahsante
 
Wewe mtu mbona unapenda ubishi usio na tija? Mbona Ubavu anakuwekea vitu bayana kabisa why hutaki kuelewa? Kuapa kwa Rais akiwa ameshika biblia au quran au moto au whatever haimaanishi hilo TAIFA ni la dini hiyo analoapia bali huyo anayeapa ndio wa imani hiyo. Kutambua hizo sikukuu pia ni suala la imani la hao raia wa nchi husika si TAIFA husika.

Kuhusu "USA is no longer a christian nation" ni suala la lugha ya hotuba tu hiyo ndio inayokuchanganya. Hapo anawasilisha ujumbe kuwa ikiwa kuna watu walikuwa wakiishi "KIMAZOEA" kwa kuona society yote inayomzunguka ni wakristo na hivyo kudhani (generalization) kuwa US ni taifa la kikristo wabadili mtizamo huo; na kwamba US ya leo ina mchanganyiko wa jamii wa dini tofauti wenye haki sawa kwa Taifa hilo hivyo wavumiliane kwa muktadha huo. Ni lugha ya kawaida tu hii wala isikuchanganye. Mengine Ubavu amekufafanulia vizuri tu, punguza ubishani sio dili.
 
Obama siyo Black man, bali ni mchotara mama yake ni Mzungu 100% aliitwa Ann Dunham ktk Jimbo la Kansas, USA!

watu tunazungumzia obama wewe unaleta habari ya mama yake una akili kweli! kama hujui mambo ya kibailojia kuhusu uzazi kaa kimya.
 
Kuna watu wanatok a na machozi na mapovu kwa kupinga na kubisha kuhusu hili suala. Mimi nathani kama wewe ni straight guy hili halikuhusu. Kila mtu atazame maisha yake.
Mara nyingi watu wanaopinga mashoga ndio wanapenda mashoga sana na kale kamchezo cha kushika ukuta.
 
Mashoga nao ni binadamu tuu acha waishi maisha yao, US sio huko kwenu mnafunga watu eti Raisi katukanwa kwenye whatsapp ,and yes US is not a Christian Nation na ni constitution yao inasema hivyo sio Obama,mnapiga piga kelele na vichuki vya kishamba,ubaguzi wa mashoga etc lakini wote ndio mnakimbilia huku ,utakuta mkimbizi kakimbia ushenzi wa ISIS or Taleban,Boko Haram etc kafika huku kapewa haki zote na kulindwa lakini shukurani yake ni kuleta ubaguzi kwa wale asiokubaliana nao like mshoga ambao hao ndio wamempokea binadamu wa ajabu sana
 

Wewe ni shoga.
 
The First Amendment to the United States Constitution provides that "Congress shall make no law respecting an establishment of religion, or prohibiting the free exercise thereof ..." and Article VI specifies that "no religious Test shall ever be required as a Qualification to any Office or public Trust ...
Wewe zero hiyo tunaita separation of church and state and part of United states constitution ,kuanzia leo ujue US haina dini na dini yako ni personal business yako,siku nyingi educate yourself kabla ya kuandika vitu usivyoelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…