Very touching!
Pinda akilia AIBU, Obama kalia eti 'VERY TOUCHING'. Kuongoza watz inabidi uwe na roho ngumu sana
Pinda akilia AIBU, Obama kalia eti 'VERY TOUCHING'. Kuongoza watz inabidi uwe na roho ngumu sana
hivi pinda akilia sura yake inakuaje?? Mwenye hiyo picha ya hilo tukio, naomba aniwekee nikamilishe siku yangu ya leo! Kwi kwi kwi, au wasira akilia hivi huwa wanafananaje??? Kwi kwi kwi kwi! Nimepita tu hapa!pinda akilia aibu, obama kalia eti 'very touching'. Kuongoza watz inabidi uwe na roho ngumu sana
Duh, Yaani hapo ndo mwisho wako,,,Pinda akilia AIBU, Obama kalia eti 'VERY TOUCHING'. Kuongoza watz inabidi uwe na roho ngumu sana
hivi pinda akilia sura yake inakuaje?? Mwenye hiyo picha ya hilo tukio, naomba aniwekee nikamilishe siku yangu ya leo! Kwi kwi kwi, au wasira akilia hivi huwa wanafananaje??? Kwi kwi kwi kwi! Nimepita tu hapa!
Alijua kabisa kuwa safari hii ngoma ilikuwa nzito. Uchaguzi ulikuwa mgumu sana.
Sasa ndio ana kazi ngumu zaidi kuliko alivyokuwa kipindi kinachoisha.
Amepata urais kwa kujitoa sadaka sana, mpaka kuamua kuunga mkono ushoga ili tu apate urais.
We were all created by His Almighty! Sio sahihi hata kidogo kumcheka mtu kuhusiana na maumbile aliyopewa na Mungu.
kama wenyewe wanataka kupigana bao yeye afanye nini?
Chama
Gongo la mboto DSM
Wewe ndo unashindwa kutofautisha mambo, Pinda alitokwa machozi kwa kutuhumiwa kuvunja katiba na akatakiwa ajieleze mbele ya bunge ni kwa nini asiwajibike - badala ya kujieleza akalia ili ahurumiwe na kweli soo ikawa imeishia hapo akahurumiwa, sas hii wewe unaihusanishaje na Obama kama mtoa thread alivyo bainisha, au haukuelewa thread inongelea. Thread haiongelei kulia ila maudhui, sababu na nini kitokanacho baada ya hapo, na je amelia peke yake au na audience nzima iko touched na kulia huko, je kivipi na tafsri yake ni nini kwa wamerekani. Uwe unachekecha ubongo wako kidogo kabla ya kuandika sio kulinganisha mafuta ya taa na maji kwa sababu tu vyote ni colourless basi vimekuwa sawa, matokeo yake utakunywa Petrol ukidhani ni Juice.
Huna lolote! Nani asiyekujua kuwa wewe ni mwislamu uliye upande wa wapalestina ambao hawakutaka Obama ashinde? Wewe ni mshabiki wa Rob Me, ooh sorry Romney. Unaona tu kibanzi kilicho kwenye jicho la Obama ila boriti iliyoko kwa Romney huioni? Mnafikim wewe, ondoa kwanza boriti iliyoko kwa Romney ili upate kuona vyema kibanzi kilichoko kwa Obama! Mpe huu ujumbe na hawara yako Natalia!Kuunga mkono ushoga alifanya ili apate urais tu.
Sidhani kama akiulizwa maswali magumu ataweza kujibu vizuri.
Kwa mfano akiulizwa maswli yafuatayo:-
Hapo mwenyewe atanywea tu.
- 'Utajisikiaje binti zako wakifunga ndoa na wanawake wenzao ??'
- 'Utajisikiaje ikiwa binti yako atapata mimba halafu akaitoa bila sababu yoyote ya msingi ??'
Obama machozi yanamtoka kwa sababu mwenyewe anajua kuwa amefanya mambo mengi yasiokubalika ili apate urais.
Kaunga mkono ushoga, kaunga mkono utoaji 'ovyo' mimba, n.k. ili tu aungwe mkono na watu wengi.
Kiongozi shupavu anatakiwa kuwa tayari kusimamia anachoamini, hata kama atapingwa na watu wengi.
Mfano wa kiongozi kama huyo ni Nyerere. Alisimamia maadili ya uongozi katika azimio la arusha, ila watu wengi walimpinga na kuleta azimio la zanziba.
Sasa ndio tunavuna matokeo ya zaimio la zanzibar kwa kuwa na mafisadi kila kona.