Obama atembelea Makumbusho ya Bob Marley

Obama atembelea Makumbusho ya Bob Marley

Gentleman lazima ufike maeneo mhimu kama hayo
 
Bob Marley the super star of all time.he will be remembered generation after generation.
 
Watu wamechukulia kimzaha na sehemu ndogo ya kutumia bange,na kusahau mchango mkubwa wa Bob katika harakati za kumkomboa mtu mweusi katika bara la mabepari na wanyonyaji.mf."Buffalo soldier" na "Babylon must fall" etc etc
Sina hakika na theme ambayo wachangiaji wengi wame major kama inakidhi haja kwa GT wa jf


Alipigania bangi kuhalalishwa. Leo imehalalishwa hata Marekani.

Alihamasisha ukombozi Afrika hususani Ziimbabwe.

Tatizo lake hakutambua umuhimu wa mwanamke. Akaimba - No woman no cry. Nahisi wanawske duniani hawampendi na rasta ni mila ya wanawake zaidi
 
hqdefault.jpg
 
Jamaa alishawahi kusema alishakuwaga PUSHA!
article-2150089-134C707F000005DC-370_634x382.jpg
 
Back
Top Bottom