Obama and Putin Arrive in Antalya for G20 : Compare and Contrast

Obama and Putin Arrive in Antalya for G20 : Compare and Contrast

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,035
Reaction score
142,943
Hakuna kabisa ubishi juu ya nani ni super power!

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2:
 
Last edited by a moderator:
Huyu nyani Ngabu anatetea kibarua chake cha kupiga Box USA, huwa anamsifia hadi Mbwa wa Obama, mara viatu vya Obama
 
Air Force One, and The Presidential Limousine "Beast"!. Au ukipenda waweza ita Ground Force One.
 
Uturuki yaionya urusi vikali. Urusi yasema chaguo la kuingia uturuki kijeshi lipo mezani, na ni sharti uturuki iadhibiwe
 
Hahahah ushabiki maandazi wa nyani ngabu.
Shida sana hajui kuwa NATO chupi zao wanakaza kwa nati baada ya shemeji yao uturuki kumchezea chatu.
 
Air Force One, and The Presidential Limousine "Beast"!. Au ukipenda waweza ita Ground Force One.

Hebu angalia hiyo Air Force One halafu linganisha na hicho kidege cha Putin...[halafu sijui ni ki Fokker Friendship hicho].

Acha USA iwe USA bana.

Oh halafu nimesikia eti huko Russia watu kibao ni washabiki wa NBA na hata Super Bowl huonyeshwa live huko.

Teh teh teh....USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Hakuna kabisa ubishi juu ya nani ni super power!

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2:

we jamaa umezaliwa Nanjilinji mtwara Leo ndo unajifanya mmarekani namba moja
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kabisa ubishi juu ya nani ni super power!

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2::usa2::u sa2::usa2::usa2::usa2:

Putin ameweza kuwachakaza isis kwa mda mfupi sana tofauti na usa anayezuga zuga...Russia the bear!!!
 
Last edited by a moderator:
Hebu angalia hiyo Air Force One halafu linganisha na hicho kidege cha Putin...[halafu sijui ni ki Fokker Friendship hicho].

Acha USA iwe USA bana.

Oh halafu nimesikia eti huko Russia watu kibao ni washabiki wa NBA na hata Super Bowl huonyeshwa live huko.

Teh teh teh....USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:

Nilipoona waafrika wanaolewa marekani na ulaya nilisikitika
 
Uturuki yaionya urusi vikali. Urusi yasema chaguo la kuingia uturuki kijeshi lipo mezani, na ni sharti uturuki iadhibiwe
russia na putin wao wameshikwa pabaya na turkey-being aware of the NATO principal putin hana option hata ya kufatua a single bullet toward turkey,mana consequences zake zipo wlel known kwa upande wako.Hapa ni mbabe kakutana na mbabe mwenzake,ujanja hana zaid ya kubembeleza hata an apolgy lakini hapati
 
Rais wa Russia anatumia ndege za shirika la ndege ambalo jina lake limeandikwa kwenye ndege hiyo kusafiria (.. ni kama vile Rais wa Marekani angekuwa amepangiwa awe anasafiria Delta au United Airlines). Putin angetaka angeweza kuagiza apewe hata Antonov An-225. Ni utaratibu wao tu.
 
Rais wa uturuki kaomba radhi na kesho kukutana na put in
hakuomba radhi,ila amekua saddened na tukio,hapo hakuna apology-apology kama apology refer "a letter of two sorries"uweze kutofautisha kuhuzunika na kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom