DoubleOSeven
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 661
- 145
Angefanya vizuri zaidi awaachie osama azidi kuwamaliza. kamaliza moja then atafanya lingine mpeni support. hata ngozi ya mwili wako unaichukia, loooo, rudi bongo uone maisha magumu yakoje.
Lbya wananyolewa nyie mnaanza kutia maji, bado zamu yenu.Obama ni bora akapigwa chini, kusema kweli, yanayoendelea Libya yamenikata steam kweli kweli!
Kwa kweli ana kazi kubwa. In fact ataweka historia ya kuyeyuka na ndoto zake, Americans do not take bla bla they take money which BO has failed to fill in their pockets
hakuna cha wamarekani wala nini ni watumwa tu wa akili wanaoishi kwa ndoto za watu wengine
Last time I checked, hapa JF kuna international forum! So lazima tutaongelea habari za kimataifa. Hatuwezi kuongelea siasa za bongo bila kujifunza huko tuliko-copy siasa hizo. Pia, kwa nchi inayotegemea misaada kama yetu ni lazima iwe na interest na nani ni mgombea ktk nchi hizo, maana sera zao kuhusiana na mambo ya nje zinawekwa wazi mapema. Umeona conservatives na Liberals wanavyobana matumizi? Si umeshaisikia serikali yako ikilalamika kuhusu wahisani kutokutimiza ahadi zao za bajeti?
Mwisho, hatuishi kisiwani, ujinga unaofanywa na viongozi wengine ktk nchi zao unatuathiri wote. Unamkumbuka G.Bush na silaha za maangamizi Irak, ambazo mwisho wa siku alishindwa kutuonyesha zilipo? Unakumbuka bei ya mafuta ilifikia kiasi gani wakati wa vita vya Irak? Leo Gadaffi anapigwa, uzalishaji wa mafuta umepungua na bei kuongezeka. Unajua kwanini Gaddafi anapigwa na rais wa Yemen na syria hawajapigwa?
stop being stupid minded, kuwa kijiji haina maana kuwa you will have an opportunity to vote for or against Obama na haimfanyi mtanzania kumpigia kura obama au rais wa nchi yo yote ile kadri anavyotaka, stop thinking using your stomach, use your brain
Tupo mkuuKumbe Jamiiforums kuna Wamarekani kibao! Mi nilifikiri ni forum ya wabongo tu!
lakini pia usitufanye watumwa wa akili wa kuangalia na kushabikia ya wengine huku tukisahau au kudharau ya kwetu.
Mbona hamlaumu watu wakidiscuss UEFA cup?......mbona bongo kuna washabiki wa manchester,barcelona etc..?lakini pia usitufanye watumwa wa akili wa kuangalia na kushabikia ya wengine huku tukisahau au kudharau ya kwetu.
Kumbe Jamiiforums kuna Wamarekani kibao! Mi nilifikiri ni forum ya wabongo tu!
wanafagia vyoo kule new york,sisi tupo home!!!!!!!!!tunapanda pipa na kushuka china na kurudi siku hiyo hiyo,wao wameona kule ndo wamefika labda kwa sababu ya maghorofa ya obama,no place like home,kwanza tumesikia wanajiuza kwenye internet!
Hapoo sasa!Mbona hamlaumu watu wakidiscuss UEFA cup?......mbona bongo kuna washabiki wa manchester,barcelona etc..?