emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 542
Ni unafiki tu...Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya marekani kuwaaminisha wamerekan na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi,ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza trump kwa ushindi mzuri je hawajiamini?
I get you, so technology is poorUdukuzi is not about Trump or individuals. It's about one country interfering with another country's infrastructure.
acha upuuziumesahau kuwa obama ni mwafrica
Hivi kwa mfano:umenunua switch dukani ukiamini ya kuwa ni original n then umefika nyumban unaanza kuichunguza ukabaini kuwa ni fake na inaweza unguza nyumba yako.....Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya marekani kuwaaminisha wamerekan na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi,ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza trump kwa ushindi mzuri je hawajiamini?
Hii kitu ni kweli aisee hii pepo litatuisha lini sijui. Nasikia Nkurunzinza kaonesha dalili za kugombea muhula wa nne. Hizi ndio akili zetu banaKwani umesahau kuwa Obama ni Mwafrika? Mwafrika ni mwafrika tu
Wakati unanunua ilifichwa kwenye gazeti kwa hiyo ukuchunguza?Hivi kwa mfano:umenunua switch dukani ukiamini ya kuwa ni original n then umefika nyumban unaanza kuichunguza ukabaini kuwa ni fake na inaweza unguza nyumba yako.....
Je utarudi dukani na kumwambia mwenye duka akubadilishie na akupe original au utaitumia tu coz ushanunua bila kujali kuwa nyumba yako itaweza ungua?
amefanya mengi mazuri miaka yote aliyotawala, akaja kuboronga mwishoni. ametuaibisha sana watu weusi. hana maana.Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya marekani kuwaaminisha wamerekan na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi,ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza trump kwa ushindi mzuri je hawajiamini?
Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya marekani kuwaaminisha wamerekan na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi,ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza trump kwa ushindi mzuri je hawajiamini?