Obama aje TZ, na Dr. Dr. Dr. Dr. Kikwete aende US

Obama aje TZ, na Dr. Dr. Dr. Dr. Kikwete aende US

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Nimemuona President Obama kama vile kaanza kuota mvi, mawazo mengi.

Pia nimemuona Dr. Kikwete amenawiri zaidi

Nashauri Raisi Obama aje aongoze Tanzania kwa mwaka tu na JK aende US kwa mwaka.

Nani atafaidi, wamarekani au Watanzania?

Hivi kweli haiwezekani maraisi wakabadilishana?
 
huyu anayenawili nini kinamnawilisha? amefanya kipi cha maana mpaka ananawili? phewww
 
Back
Top Bottom