Kwanini Mkuu?...Ni wapi panapokuonyesha hilo?tutegemee american propaganda na more disorientation kwa nchi yetu... zitapigwa picha, tutavaa tisheti na siku zitapita kama ya bush vile ilivyokua
lakini sina hakika kama huyo Baraka atakuja anyway
MWaka wa kampeni huu... utasikia kila ahadi!!! si unajua tena sie ndio ile 70% ya kufuata upepo?😱Kwanini Mkuu?...Ni wapi panapokuonyesha hilo?
Mi naamini kwamba atakuja, labda inaweza isiwe mwaka huu, but he is coming😀
Which is not so bad for the tourism industry in here!
which is not so bad for the tourism industry in here!
Hii ndo habari mbaya kwangu kuliko...huh!Msisahau pia kwamba mawasiliano yatakuwa disturbed and monitored for almost the whole time when the man and his delegates they will be in our country.
Cha kusikitisha ni kwamba hata JF yetu itapaki kwa muda, hii sintoipenda. Kwani system ya security ya Marekani kawaida hufanya hivyo, sijui kama hii huhusu marais wetu wanapokuwa US.
Which is not so bad for the tourism industry in here!
Nadhani ujio wa Obama utafanya Tanzania ijulikane zaidi kwa rai wa Marekani hivyo kuongeza idadi ya watalii toka Marekani. Vile vile msafara wake utakuwa neema kwa wenye mahotel ambayo wageni hao watafikia
I s this so?tourism industry.......... u got be kidding...... they dont gv a shit... about ur tourism or anything about ur country... unless they get smthing in return... i mean who the hell is TZ... jst becoz their president will be around.... ndio wa promote ur tourism....they have been in a top class country than this and they did nothing.... so do not even think that u will get anything to boost u r dying economy from them easily...... THEIR are simply UP to smthing. ...