Obama aja Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama aja Tanzania

Discussion in 'International Forum' started by PakaJimmy, Jan 20, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, ndugu Bernard Membe jana aliwaeleza waandishi wa habari kuwa Rais Obama wa Marekani anakuja Tanzania muda wowote mwaka huu, ikiwa ni ahadi aliyoitoa kwa Rais Kikwete, pindi walipokutana huko Marekani, wakati Kikwete alipotembelea huko.

  Je Watanzania tutarajie nini kutokana na ziara hii?..Msaada?..Maboresho ya miundombinu?...Neema kwa sekta ya utalii?

  Tujadili.
  [​IMG]
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tutegemee american propaganda na more disorientation kwa nchi yetu... zitapigwa picha, tutavaa tisheti na siku zitapita kama ya bush vile ilivyokua

  lakini sina hakika kama huyo Baraka atakuja anyway
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwanini Mkuu?...Ni wapi panapokuonyesha hilo?
  Mi naamini kwamba atakuja, labda inaweza isiwe mwaka huu, but he is coming:D
   
 4. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Aje au asije sisi niwatanzania na tutafanya maendeleo yetu kwa tsh zetu no $ or £ so atutaraji chochote ila aje kama mtalii atupe malipo kama mtalii nadhan tungefurah. "we are the people of great nation"
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MWaka wa kampeni huu... utasikia kila ahadi!!! si unajua tena sie ndio ile 70% ya kufuata upepo?:eek:
   
 6. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tutarajie CNN kuhamia Bongo ikiwa live

  Leka
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Which is not so bad for the tourism industry in here!
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Huo ujio lazima utajwe sana kwenye list ya mambo yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya nne. Sitashangaa hilo poa likitajwa kama miongoni mwa ahadi za JK alizozikamilisha.
   
 9. I

  Irizar JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aje tu kama mtalii na watu wake wengi, itasaidia kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kwa mara nyingine tena.

  Of course hotel zitauza vyumba etc. etc kwa waandishi wa habari. Anyway aje hali ya hewa ni nzuri Tanzania.
   
 10. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  ..................pia anaweza kutaka kumalizia the new kigamboni city deal.........aliyoachiwa na mkulu bush...........
   
 11. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Msisahau pia kwamba mawasiliano yatakuwa disturbed and monitored for almost the whole time when the man and his delegates they will be in our country.

  Cha kusikitisha ni kwamba hata JF yetu itapaki kwa muda, hii sintoipenda. Kwani system ya security ya Marekani kawaida hufanya hivyo, sijui kama hii huhusu marais wetu wanapokuwa US.
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mie naona kama akija au asije hakuna tofauti yoyote itabakia tu History Obama alitembelea TZ
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii ndo habari mbaya kwangu kuliko...huh!
   
 14. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  TumainiEL umenikosha kwa statement yako!
   
 15. M

  MLEKWA Senior Member

  #15
  Jan 20, 2010
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 16. Amigo

  Amigo Senior Member

  #16
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani kama kiongozi wetu ana safiri katika nchi mbali nasisi tutegemee tutapata wageni kama hawa lakini swala la maendeleo litabaki palepale kuwa maendeleo ya nchi yatafanywa na watanzania wenyewe kwa juhudi zao wenyewe, Obama nae ana mambo mengi sana yakufanya kwa wamarekani ukizingatia umaarufu wake umesha anza kupungua huko Marekani kutokana na ahadi alizo zitoa wakati anaingia madarakani.

  Kwahiyo Watanzania tusitegemee mengi kutoka kwa Obama sana tu pato la kitalii litaongezeka kwa mahoteli kufanya kazi kwa kipindi hicho.
   
 17. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  tourism industry.......... u got be kidding...... they dont gv a shit... about ur tourism or anything about ur country... unless they get smthing in return... i mean who the hell is TZ... jst becoz their president will be around.... ndio wa promote ur tourism....they have been in a top class country than this and they did nothing.... so do not even think that u will get anything to boost u r dying economy from them easily...... THEIR are simply UP to smthing....
   
 18. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nadhani ujio wa Obama utafanya Tanzania ijulikane zaidi kwa rai wa Marekani hivyo kuongeza idadi ya watalii toka Marekani. Vile vile msafara wake utakuwa neema kwa wenye mahotel ambayo wageni hao watafikia
   
 19. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ameisaidiaje KENYA kwani huko ndio kwenye ASILI yake.........?

  Lazima kuna la ziada kwenye uo ujio
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  I s this so?

  Mbona umekuwa mkali hv ndugu Fredwash?

  U want to tell me that these guys are that unfriendly?

  Aisee, mbona last time wamekuja wametumwagia dola 700M?..au mimi nimesahau!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...