Mtoa mada nakukumbusha!! kuwa na elimu ni jambo moja, kutumia akili kupitia elimu uliyonayo ni jambo lingine nakusanua wanawake wengi wana elimu ila akili zao ndio tatizo. kama unatafuta mke usimpime kwa elimu aliyonayo mpime pia na akili yake.At least awe amefika form four, narudia tena at least awe amefika form four.
As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu.
Usiwe mbinafsi kwa kutazama vigezo vyako kingono tu.
Oa mama wa watoto wako,
Kumbuka jinsi mke wako alivo ndio hivo pia watoto wako watakuwa.
Watoto wanarithi akili kwa mama yao ,naongea hili with experience.
Ni ushauri
AmenNakuombea uendelee kuwa hivo
[emoji3][emoji3][emoji3] daaah aiseeAmina kiuno njoo huju
bina damu ni kama komputer mpya ambayo una kuta ina ram tu ambayo ndo uwezo wa komputer hiyo na memory ambayo haina kitu,utakachofanya baada ya kuinunua utaongeza ,muvi,sizon kwenye memory yake. hivyo unazaliwa ukiwa na akili au talanta ,elimu ni vitu vya nyongeza tu kwakoSasa kwanini kasema form 4? Kipimo Cha akili ni nini?
Mmaasai anayejua kufuga ila hajui kulima ana akili au lah?
uko sawa kabisa babaAt least awe amefika form four, narudia tena at least awe amefika form four.
As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu.
Usiwe mbinafsi kwa kutazama vigezo vyako kingono tu.
Oa mama wa watoto wako,
Kumbuka jinsi mke wako alivo ndio hivo pia watoto wako watakuwa.
Watoto wanarithi akili kwa mama yao ,naongea hili with experience.
Ni ushauri
Na la saba wenzaoWalioishia la 7A wataolewa na nani?
Msukuma kule bungeni ni darasa la 7. Lakini ana wa outsmart wabunge wenye phd zao.
kipimo cha akili ni kujitambua(I Q) tu kuhusu elimu et form four wengi wamebahatisha tu ama kukalili tu ,haimanishI ndo kuwa na akili. watu kwenye pepa anafumba macho anapiga ana ana do .anajaza majibu ,uyo utasema ana akili kwa elimu yake? mfano komputa unaweza fananisha kiutendaji na hadi disk? kompyuta unainunua mpya baadae una anza ingiza data kwenye hadi disk, vivyo hivyo kwa mtu unazaliwa una akili tu ila elimu huna,elimu unaikuta duniani.ndomana mwenyewe phd ya biashara anaweza kupewa biashara aka shindwa ila lanne akaweza biashara wakati hajasomea biashara
Wengine tumezaliwa na wamama ambao hawakusoma hata darasa moja lakini wametukuza na tumefika mbali sana na tunawashukuru wametufikisha kwenye mafanikio.At least awe amefika form four, narudia tena at least awe amefika form four.