Oa mwanamke mwenye elimu

Lakini reasoning capacity haiji na cheti ujue....😏
 
anacho zungumzia mdau hapo juu ni akili yaani sio elimu. ukitaka kujua akili ni nini ,uktoa phd,diploma,masters ya kukalili uliyo kichwani kitakacho baki ni akili ya kuzaliwa.so unaweza kuwa na elimu lakini ukawa huna akili.maana elimu zetu tuna kalilishana tu. kumbuka walobuni ndege(right brothers) wa marekani hawa kuwa na darasa kichwani bali akili tu ,ila walifanikiwa kubuni na kutengeneza ndege ambayo ukifikiria unasitajabu( akili ni kipaji tu cha mtu au talanta sio elimu) elimu tunaipata duniani ila akili tunazaliwa nazo,wenye elimu wengi hawana akili,utashangaa la saba ndo wamezaa majiniaz
 
Mwanamke aliyefika form 4 ana akili na ambaye hajafika hana?

Kama mama yako kafika form 4 tayari una akili na kama hajafika huna akili?

Kwa reasoning hii bado tuna safari ndefu.
 
Rudi kamsome vizuri.

Haya uliyoandika umejaribu kuinyumbulisha mada yake ila yeye alichomaanisha ni awe form 4 failure au 6 or whatever muhimu amegusa hivyo vidato basi huyo ni mke wewe beba,huyo la saba hata kama sababu iliyomfanya asiendelee ni umaskini siyo hoja kwake.
 

Sasa kwanini kasema form 4? Kipimo Cha akili ni nini?

Mmaasai anayejua kufuga ila hajui kulima ana akili au lah?
 
Utafika mbali Sana daktari.

Watu wasichokielewa ni kuwa akili za darasani ni tofauti kabisa na za maisha.

Kuwa na uwezo wa kutoboa form foo haimaanishi wewe ni mzuri kiakili zaidi ya ambae hakusoma kabisa.
Tatizo watu hujisahaulisha kwamba kuna watu ambao hawajasoma sio kwasababu hawana uwezo wa kiakili bali hawakupata nafasi kwasababu yoyote ile. Hivyo hivyo wako "waliosoma sana" kwakupata nafasi za upendeleo.

Yani watoto wanavyofaulishwa kwa kupewa majibu hata wale wasiojua kusoma wana-pass, tukitumia kigezo cha kumaliza madarasa kupima akili/uelewa wa mtu tunakua tunazingua sana!

binti kiziwi ninekusoma mpenzi, ngoja nitulie ntaandika kidogo kutokana na uelewa/uzoefu wangu.
 
Kusoma na kuandika ni vitu viwili tofauti .
Kauandika kunahusisha musles na ubongo wakati kusoma kunahusisha ubongo pekee, kadiri tunavyopata umri musles nazo zinakomaa na kuji shape ndo maana ukiwa mtoto ni rahisi sana kujifunza kutembea hata kuandika .
 

Exactly. Mleta Uzi kajianika yeye alivyo kilaza kuliko hata watu ambao hawakubahatika kufika form 4.
 
Sahihi Sana sijawahi kuamini Kama mapenzi yanahusiana na usomi. Ingekuwa ni hivyo ndoa nyingi za wenye elimu zingefika mbali ila ndio zinazoongoza kwa kuwa na ujinga mwingi.
 
Anhaaa! Asante nimeongeza kitu katika ubongo wangu.
 
mama zetu waliishia darasa lipi!? mbona wametukuza hadi tulipo...

wengi wa waliosoma, elimu inawapumbaza hatari! hamna kitu kabisa, tuulize sie tuliopitia maisha ya wake wasomi... bure kabisa.
 
Hivi hawa wanawake wenye degree sijui masters wana nini cha ajabu kwenye maisha ya ndoa na malezi ya watoto?

Tena akiwa ameajiriwa ndo kabisa mtaanza kukapeleka katoto kenu kamiaka 2 day care kakirudi kanalelewa na house gal

Wengi wao ndio hao akina mama Junior malezi yao wanaamini kumdekeza mtoto ndio kumpenda

Tatizo wengi wana elimu ila hawajaelimika. Ukimpata mwenye akili ya maisha na aliyeelimika inalipa
 
Uko sahihi sana hasa hapo uliposema angalia watoto wako ,mke mwenye elimu haijalishi ana kazi au hana ni muhimu mno
 
apo ndo nime mkosoa amebesi kwenye akili akimaanisha mwenye elimu ndo mwenye akili,i la ndo utambue unaweza ukawa na elimu ila akili ukawa huna .yaani hapa una fananisha ram ya kompyuta na hadi disk. ishu hapa ame besi kuoa mwenye akili ya ani (I Q) Sio elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…