a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,840
- 4,441
- Thread starter
-
- #81
Mwanamke anaekupenda utamjuaje? Kwa dunia ya sasa hata mwanamke anaeonesha ishara za kukupenda bado atakupiga vizinga vya hapa na pale
Kaka wale ambayo tumeanza nao chini kutafuta tukisha anza kujipata na wao mara nyingi hupenda kwingine je utamlazimisha? Inabidi nawe ucheki maisha mengine, ndio ungwanaYule aliyekuwa pamoja na WEWE Kipindi ukiwa unajitafuta kabla hujapata chenji nzuri(MAFANIKIO)
Tatizo la wengi WETU tunatumia matunda ya mafanikio yetu na watu ambao hatukutafuta nao,ambao hatulima nao JUANI lakini tunawatafuta tunapokuwa kivulini ,sio ajabu mstaafu anapolipwa mafao yake TU anatelekeza familia yake anaenda kuoa mke mdogo mpya ili ale mafao yake akiwa kivulini na kumuacha yule aliyetafuta naye JUANI.
Tumeona kwa wazee WETU WENGI..na wakifikiri HUKO wataweza kununua UPENDO KWA PESA..na mwisho wake Huwa mbaya,mifano ni mingi.
Kuna wadada wengine sio kwamba kafata pesa zako, bali yupo kwako sababu hajapata option ilio bora zaidi hivyo kaaamua a settle na wewe kwenye ndoa adi kifo kiwatenganishe, au yupo kwako kajiegesha akisubiri mwanaume wa ndoto zakeMwanamke ANAYEKUPENDA utamjua TU kwa sababu atakuwa anakupenda UNCONDITIONAL LOVE.
Wakati WA shida wakati WA kukosa ulipokuwa huna
Mfano ulipokuwa huna unajitafuta ulimchumbia binti akakukataa ulipofanikiwa amekuja mbio anataka umuombe,
Na kama anapenda pesa zako utamjua TU UPENDO WA KWELI HAUJIFICHI na hata hapa nimeanza kuona comments wanaume baadhi wanakiri kwamba wake zao wapo nao wamefuata pesa zao TU hawana UPENDO(ukiwa hupendwi UNAJUA)
Yule mama msomi profesa tajiri, AMEOLEWA na mwalimu MASIKINI, ndugu WA mwanamke wanashauri aachane na mwanaume MASIKINI,wanahoji kwa Nini amekubali kuolewa na MWALIMU??
JIBU LAKE ni moja TU, SIJAOLEWA NA MWALIMU ILA NIMEOLEWA NA MWANAUME. PESA HAZIOI MWANAMKE.
Kila MTU ashinde mechi zake ,kama umepata mwanamke kimeo,kufa naye kimpango WAKO..ila USISINGIZIE WANAWAKE WOTE WA SIKU HIZI hawana UPENDO wanapenda pesa TU/sio kweli.
Utajuaje kwamba anakupenda maana wanawake kwa acting Angelina Jolie anasubiri.Mwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.
Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)
Penda usipopendwa for your own risk
Seran Toa tamko mbona umeshangaa hii comment yangu kwani nimesema uongo π, hapo niongezee wadada wa hivyo wanakua wamefata pesa kwako ila si kwa 100%, unakuta ameolewa na mwanaume 50% sababu ya pesa 50% sababu anaona umri unaenda 30+ na hana mwanaume handsome anaeeleweka anaetaka kumuoa..Kuna wadada wengine sio kwamba kafata pesa zako, bali yupo kwako sababu hajapata option ilio bora zaidi hivyo kaaamua a settle na wewe kwenye ndoa adi kifo kiwatenganishe, au yupo kwako kajiegesha akisubiri mwanaume wa ndoto zake
Hii inatokea pale mwanaume huna pesa nyingi una kimshahara chako Cha u bank teller, ki vitz, mwanamke anaona we si tajiri ila Kuna mwangaza wa maisha mazuri mbeleni na wewe unaonekana ni mwanaume responsible ambae hutokimbia familia, anajiegesha apo kwako..huku mwanaume wa ndoto zake ni aidha hamtongozi, mshinda vijiweni kijana wa hovyo au ni maskini hata akimzalia watoto watashinda njaa @a sinner
Nimeshangaa tu sikujua ya kuwa mwanaume akiwa ana kimshahara cha u bank teller na kivitz tayari ana mwanga mbele na wadada wanamviziaπ«’Seran Toa tamko mbona umeshangaa hii comment yangu kwani nimesema uongo π, hapo niongezee wadada wa hivyo wanakua wamefata pesa kwako ila si kwa 100%, unakuta ameolewa na mwanaume 50% sababu ya pesa 50% sababu anaona umri unaenda 30+ na hana mwanaume handsome anaeeleweka anaetaka kumuoa..
Hapo ndo wale average guys in terms of looks (kwenye macho ya mdada) waliokua ving'ang'a wenye vijimshahara vya u bank teller, wanaoonekana watakua responsible father's ndo wanapewa chance
Unakuta kwenye sherehe ya harusi mwanaume anajisifu, huyu mdada nilimtongoza mwaka mzima ndo akanikubalia kumbe anajichoresha mbele ya wadada waliomo kwenye huo ukumbi wa harusi
Iyo kazi nimeiotelea kama mfano tu, ila kuna yule mwanaume unamuona kua huyu sio tajiri, ila kwa alivyo ni mpambanaji, baada ya miaka 5 mtakua mbali kiuchumi, na ukizaa nae hatokimbia majukumu ya kulea familia..hio intuition Kuna wadada wanayoNimeshangaa tu sikujua ya kuwa mwanaume akiwa ana kimshahara cha u bank teller na kivitz tayari ana mwanga mbele na wadada wanamviziaπ«’
Mindset tu kuna watu wanapambana na bado hawatoboi! Labda kujiaminisha tu ili usikose penye uhakika wa ugali..Iyo kazi nimeiotelea kama mfano tu, ila kuna yule mwanaume unamuona kua huyu sio tajiri, ila kwa alivyo ni mpambanaji, baada ya miaka 5 mtakua mbali kiuchumi, na ukizaa nae hatokimbia majukumu ya kulea familia..hio intuition Kuna wadada wanayo
Ni mtihani halafu akitoboa anaanza dharau.. anatafuta type zakeππΎShida unakuta mwanaume tajwa hapo juu ambae ni responsible, unakuta kwenye suala la muonekano, sio type yako kabisa, Yani ukimuona chini kwako hapaloi, sometimes Hali inakua mbaya adi unaona aibu kumtambulisha mbele za watu wako wa karibu..
Kuna watu wanajua kuvunga 40+ yrs sio mchezo! Sem akadri unavyozidi kuishi na mtu ndivyo unavyozidi kumpenda!Hivyo unaishi nae ukitarajia kwa anavo kutreat upendo wako kwake utakua, wengine wa ivo wanakaa kwenye ndoa miaka 40+ adi kifo kinawatenganisha, wadada wengine wanashindwa kuvumilia kuishi na huyo mwanaume asiempenda anaomba talaka Seran
ππSio kuvunga sasa mdada ana miaka 35-45 anawaza akimuacha mumewe ataenda wapi, si heri atulie alee familia, mara nyingi unakuta mume nae anajielewa kwa kiasi flani, Hana michepuko chepuko (hata kama anayo anaificha na kumheshim mkewe) na ana provide ugali wa familia fresh tu, ivyo inakua rahisi uyo mdada kubaki kwenye ndoa..Kuna watu wanajua kuvunga 40+ yrs sio mchezo! Sem akadri unavyozidi kuishi na mtu ndivyo unavyozidi kumpenda!
Sijui unaongelea aina gni ya wanawake hapa! Kama hawana pa kwenda obviously lazima wavumilie mpk mwisho tu!ππSio kuvunga sasa mdada ana miaka 35-45 anawaza akimuacha mumewe ataenda wapi, si heri atulie alee familia, mara nyingi unakuta mume nae anajielewa kwa kiasi flani, Hana michepuko chepuko (hata kama anayo anaificha na kumheshim mkewe) na ana provide ugali wa familia fresh tu, ivyo inakua rahisi uyo mdada kubaki kwenye ndoa..
Issue sio kutongozwa issue ni kutambua unataka nini kwenye maisha yako kama priority yako ni kutongozwa na wanaume idadi fulani kwa wiki, basi u nailed it! Mwanamke anayejitambua na ana maisha yake, hawezi kuumiza kichwa kwanini wanaume wanaomtongoza wamepungua, na sioni sifa yoyote hapo ni utoto tu unawasumbua! Kama una maisha yako nje ya kuwaza wanaume huwezi kukosa muoaji or else una shida mahala..Miaka 30+ unajiona bado binti π, wakati unakuta bidada kashapiga hesabu idadi ya wanaume wanaomtongoza per week tangu akiwa na miaka 18, iyo idadi inaendelea kupungua kila mwaka, ukichanganya na pressure za kuolewa from family members, friends and society.. mbona utasahau ndoto ya kuolewa na mwanaume ambae ni type yako, utatafta mwanaume mwenye uafadhali uolewe nae Seran
Mwanaume mwenye uafadhali yupo iviMwanaume mwenye uafadhali ndio yukoje? And unajiaminisha 30s hawatongozwi unachekesha aisee..!
Asante kwa kunifahamisha sikuwa naelewa wenye uafadhali ndio wanazo sifa hizi!Mwanaume mwenye uafadhali yupo ivi
1) Sura yake ya kawaida sio handsome wala sio ugly..
2)Ana kipato cha kawaida, ana kazi na anajishughulisha na ana ndoto za kufika mbali ukiwa nae ngumu kulala njaa
3) Ni mtoaji, anakupa vihela vya hapa na pale bila hata wewe kumuomba, na hana skendo za hovyo mitaani
4) Ana malengo na wewe yupo straight anataka kukutolea mahari akuoe.
5) Last but not least mwanaume mwenye uafadhali ana character almost zote za u-husband material ila tu wewe moyo wako ndo haumtaki kabisa.
Hiyo research yako unafanyia kwa majirani zako au mtaani kwako? Pole wee huna unalolijua, na usiendekeze sana story za mitandaoni! Wenzio wakiamliza kuandika nyuzi wanalaza mshale kukumbushia maombi yao kwa hao unaohisi hawawataki lol ππ½Miaka 30+ sio kwamba hutongozwi unatongozwa ila kupata rika lako ni ngumu, sanasana unapata waume za watu au wababu au single father's π Seran